Mimi sio mshabiki wa espana, lakini leo natamani washinde ili wakamfunge brasil jumapili na kuuficha mpira wacheza samba wautafute wasiuone.............
Matokeo ya euro2012 final naona hayataakisi matokeo ya mechi ya leo, kwani waandaji walikosea kuwafanya italia kusafiri umbali mrefu na kutopumzika kwa kutosha hivyo kusababisha wachezaji wa italy kuumia mapema, chielini alishindwa kumaliza mpira, italy walimaliza wachache.
naomba link2nd Half Imeanza, dak. 46 Brazil 1-0 Uruguay.
Asee upo Mzee? Hayo maneno tu, dk 90 zitaongea Mkuu,
Spain kitu gani bana!
Forza Azzurri!
naona hii spain inayocheza leo siyo spain nayoifaham!
Nipo ndugu yangu majanga yalinikuta nikapotea najua ulinimiss nami nilikuwa kama mgonjwa kwa kutoonekana jf, nimemiss sana mineno ya kukera ya Gang Chomba. hii gemu nilitegemea itakuwa mteremko kwa Spain lakini naona upepo haueleweki ngoja tuone.
sio hivyo kaka,wamevurugwa staili yao na waitaliano.spain wanataka space kuchezea mpira na spidi,waitaliano wamestuka wanapoza mpira,wamejaa katikati,wanarudi deep na wanashambulia kwa mipira mirefu wakitumia wings.wasiwasi wangu kwa Barzagli.huwa hawezi kukaba maforward wepesi kama Torres na Iniesta.ila linesman wa leo uozo mtupu!
Pole na majanga ndugu yangu, tupo mabuluda hapa kama kawa na tukiwa makini kidogo tu 2nd half tutawabashia waspain na wacatalunya wote
Pole na majanga ndugu yangu, tupo mabuluda hapa kama kawa na tukiwa makini kidogo tu 2nd half tutawabashia waspain na wacatalunya wote
half time spain possession 62% shorts on target 0,Italia 38% shorts on target 4!
Pole na majanga ndugu yangu, tupo mabuluda hapa kama kawa na tukiwa makini kidogo tu 2nd half tutawabashia waspain na wacatalunya wote
Mzee hii match leo yetu, just seat back and relax!
nakuaminia pweza wangu wa kijerumani!
ha ha ha haaa, nakumbuka ulinambia moyo wako upo Italy nami wako upo Spain leo tuombeane njaa tu, lakini kwa upepo unavyokwenda ntakulaza mapema tu si unamuona Torres anavyoonyesha uwezo? huyo ni mzee wa mechi ngumu.
Kwa nini huyu Prandeli hamchezeshi El Shaaraw?
Hahahahahahhhahaaa, Chiellini karudi kati mkuu