Fifa ballon d'or shortlist

Fifa ballon d'or shortlist

Mourinho

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
4,619
Reaction score
2,328
Ballon d'Or shortlist:
Gareth Bale (Real Madrid/Wales), Edinson Cavani (Paris St-Germain/Uruguay), Radamel Falcao (Monaco/Colombia), Eden Hazard (Chelsea/Belgium), Zlatan Ibrahimovic (Paris St-Germain/Sweden), Andres Iniesta (Barcelona/Spain), Philipp Lahm (Bayern Munich/Germany), Robert Lewandowski (Borussia Dortmund/Poland), Lionel Messi (Barcelona/Argentina), Thomas Mueller (Bayern Munich/Germany), Manuel Neuer (Bayern Munich/Germany), Neymar (Barcelona/Brazil), Mesut Ozil (Arsenal/Germany), Andrea Pirlo (Juventus/Italy), Franck Ribery (Bayern Munich/France), Arjen Robben (Bayern Munich/Netherlands), Cristiano Ronaldo (Real Madrid/Portugal), Bastian Schweinsteiger (Bayern Munich/Germany), Luis Suarez (Liverpool/Uruguay), Thiago Silva (Paris St-Germain/Brazil), Yaya Toure (Manchester City/Ivory Coast), Robin van Persie (Manchester United/Netherlands), Xavi (Barcelona/Spain).

Coach of the year shortlist:

Carlo Ancelotti (Real Madrid/ex-Paris St-Germain), Rafael Benitez (Napoli/ex-Chelsea), Antonio Conte (Juventus), Vicente Del Bosque (Spain), Sir Alex Ferguson (ex-Manchester United), Jupp Heynckes (ex-Bayern Munich), Jurgen Klopp (Borussia Dortmund), Jose Mourinho (Chelsea/ex-Real Madrid), Luiz Felipe Scolari (Brazil), Arsene Wenger (Arsenal).
 
Historia inaonyesha Ligi ya Hispania ndio inatoa sana wachezaji bora nyuma ya miaka 5 ila tushachoka kumuona messi anabeba ingekuwa alichofanya Van Parsia mwaka Jana ligi ya EPL angefanyia Spain angepata Van Parsie ila pia nje nampa Ribery kwa mwaka Jana alichofanya na Beyern Munich, tukitizama soka la huu msimu ulivyoanza nawapa watu wawili kwenye ligi za European zlatan na Ramsey wa Arsenal nyuma Yao Ozil na Suarez Kama angeanza Game 10 za nyuma. Zaidi ya hapo Ribery atachukua. Na Manager aliyekuwa Bayern Munich mwaka Jana.
 
Na hao makocha je? Mourinho na Wenger wanastahili kuwemo hata kwenye shortlist?
 
hao hawana vigezo aseee! coz cjaona chajabu walicho fanya labda dis tym. mr

Haswaa, hawajashinda chochote lakini utashangaa kocha kama Diego Simeone, Steven Keshi hawamo.

Hata Del Bosque kaingia kwa kigezo kipi au cha kufungwa kwenye fainali ya kombe la mabara na Brazil?
 
Frank Ribery, alikuwa na msimu mzuri pamoja na Arjen Robben kule munich (German) kule spain kama kawa Leone Messi, CR7, Rodamel Falcao, Andrea Iniesta Lujan, na Xavi walikuwa juu. Kule epl ni RVP, Luis Suarez,. Kati ya hao hapo namwona Leonel Messi, Ribery na Christiano Ronaldo,ndio wapo kwenye nafasi ya kupata ballon d'or.
 
Kocha je?
 
Kocha je?

makocha watatu wanastahili tuzo, kwanza ni Jupp Heynckes aliyekuwa kocha wa munich, kawapa bayern ubingwa wa bundesliga, na cl. Rafael Banitez yeye anaingia hapa kwa kuwa aliwapa chelsea ubingwa wa europa ligi. Na mwisho mzee Fagasoni. Kaipa man u ubingwa wa epl. Kwangu mimi, ningependa wampe tuzo huyu mzee. C unajua hata kule epl tunakosa vitu vyake.
 
Mata alikuwa Chelsea best player of the year.

Lakini hayuko kwenye list. Badala yake yuko Hazard.

Au ina maana kuwa Hazard aliperform vizuri zaidi kwenye national team kuliko Mata?

Watetezi wa Mata mko wapi?
 
hivi mwingereza wa mwisho kupata tuzo kwa ulaya ni nani vile? Kama nitakuwa si msahaulifu alikuwa Michael Owen. Hii ikiitwa europian football of the year,nadhani ilikuwa 2001.
 
Mata alikuwa Chelsea best player of the year.

Lakini hayuko kwenye list. Badala yake yuko Hazard.

Au ina maana kuwa Hazard aliperform vizuri zaidi kwenye national team kuliko Mata?

Watetezi wa Mata mko wapi?

Juan Mata was sublime for Chelsea last season, picking up the club's Player of the Season award. He scored 12 goals in 35 Premier League matches and created an astonishing 95 chances, assisting 12 times - the second most in the Premier League. He created 30 more chances than the second most creative player at Chelsea, Eden Hazard (who made the Ballon d'Or shortlist).

To put his chance creation into context, Lionel Messi created just 45 and Cristiano Ronaldo managed just 62.

Mata was Chelsea's creative genius, dropping in between the lines of midfield and defence to cause devastating damage. His average passing accuracy was 85% and he scored a third of his goals from outside of the penalty area.
 
makocha watatu wanastahili tuzo, kwanza ni Jupp Henckey aliyekuwa kocha wa munich, kawapa bayern ubingwa wa bundesliga, na cl. Rafael Banitez yeye anaingia hapa kwa kuwa aliwapa chelsea ubingwa wa europa ligi. Na mwisho mzee Fagasoni. Kaipa man u ubingwa wa epl. Kwangu mimi, ningependa wampe tuzo huyu mzee. C unajua hata kule epl tunakosa vitu vyake.

Wengi kwenye hiyo list can count themselves very lucky to be there.

Yaani wengi wamekuwa nominated based on their reputation.

Watu kama Mourinho hawakutakiwa kuwa pale.

Kuwekwa kwa Ferguson ni maajabu. Si kamanage timu nusu mwaka tuu?

Maybe he did an amazing job in those six months.

Halafu sijui ni kwa nini Bosque anakuwepo sana kwenye hiyo list wakati kulikuwa hakuna hata major international competition.

Watu kama Diego Simeone, Montella, etc should have been there.

My vote would go kwa yule kocha wa Bosnia & Herzegovina ambaye hayupo hata kwenye hiyo list.

Huyu kocha kaifikisha timu ya taifa lake changa kwenye fainali za kombe la dunia kwa mara ya kwanza.

Kaliwezesha taifa lake changa kufikia rank ya 12 ya timu bora duniani kwa muda mfupi sana. Inawezekana kabisa Bosque asingeweza kuachieve hivyo maana Spain inaweza kucheza na kushinda kombe la dunia bila kuwa na kocha.
 
Mata alikuwa Chelsea best player of the year.

Lakini hayuko kwenye list. Badala yake yuko Hazard.

Au ina maana kuwa Hazard aliperform vizuri zaidi kwenye national team kuliko Mata?

Watetezi wa Mata mko wapi?

Kwa upande wangu sijamuona mchezaji anayestahili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka, wote ambao ni favorites hawajapishana sana na walionesha kiwango cha kawaida tu.

Lakini FIFA tayari wana mchezaji wao wanayemfikiria na Blatter kaliweka wazi hilo leo
 
Wengi kwenye hiyo list can count themselves very lucky to be there.

Yaani wengi wamekuwa nominated based on their reputation.

Watu kama Mourinho hawakutakiwa kuwa pale.

Kuwekwa kwa Ferguson ni maajabu. Si kamanage timu nusu mwaka tuu?

Maybe he did an amazing job in those six months.

Halafu sijui ni kwa nini Bosque anakuwepo sana kwenye hiyo list wakati kulikuwa hakuna hata major international competition.

Watu kama Diego Simeone, Montella, etc should have been there.

My vote would go kwa yule kocha wa Bosnia & Herzegovina ambaye hayupo hata kwenye hiyo list.

Huyu kocha kaifikisha timu ya taifa lake changa kwenye fainali za kombe la dunia kwa mara ya kwanza.

Kaliwezesha taifa lake changa kufikia rank ya 12 ya timu bora duniani kwa muda mfupi sana. Inawezekana kabosa Bosque asingeweza kuachieve hivyo maana Spain inaweza kucheza na kushinda kombe la dunia bila kuwa na kocha.

Mwingine ningemuongeza hapo ni kocha wa team ya taifa ya Belgium
 
  • Thanks
Reactions: EMT
22px-Flag_of_Spain_%281945_-_1977%29.svg.png
Luis Suárez (ESP) Alishika nafasi ya Tatu mwaka 1965
 
Mwingine ningemuongeza hapo ni kocha wa team ya taifa ya Belgium

Kwa sasa Belgium is the hottest team in Europe.

Courtois, Vermaelen, Kompany, Buyten, De Bruyne, Vertonghen, Fellaini, Chadli, Hazard, Dembele, Lakaku, Benteke.
 
Kwa sasa Belgium is the hottest team in Europe.

Courtois, Vermaelen, Kompany, De Bruyne, Fellaini, Hazard, Dembele, Lakaku, Benteke.

Lakini kura yangu inaenda kwa Jupp Heynckes
 
Back
Top Bottom