cheif mkwawa, kwemaaa!!!
nsaidie mawazo kwa bajat ya lak 3 ni bora ni nunue 1080p monitor au ni nunue smart tv nzuri??? napenda kioo chenye rangi za kuvutia na muonekano mzuri and am a gamer,je smart tv is it good for gaming,ama nichukue monitor yeny resolution ya 1080p??