Daaah asante mkuuuInstall driver
Tumia driver booster ukiwa online itatafuta all old drivers cause fifa 17 is latest kwaio imetengenezwa kwa latest softwere
Then unaitaji kuinstall setup ya c++ napia direct x 11 ili kui accelerate game
Sent using Jamii Forums mobile app
haha hapo fanya mpango utafuteHello guyz kama heading inavyosomeka hapoo nmesumbiriwa sana na hii kitu sasa nmeamua kuwaomba msaada since PC yangu niliwekea setup ya FIFA 17 bx kila nnapo taka Ku install inaniandikia my computer missing activationdll so mwenye uzoefu na hii kitu naomba msaada plz coz nmejalibu hata Ku I download hyoo activation dill lakini imezinguaa piaa
Asanteni sana[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh sawa mkuu but crack ndo nn aseehio error imekaa kama una game ambalo ni unlocked lakini hujalicrack au halina crack.
crack ni software iliochakachuliwa, kwa case yako hapo inakusaidia kucheza game bure bila kulipia (activation)
Kama umedownload hakikish unasoma maelezo ya game na uelewe. Unaweza kujikuta unapata tabu kumbe maelezo yote jinsi ya kuinistall walitoa .
mkuuu kuna pc zipo e-bay na bei zake zipo poa xanaa,ila nina mashaka kununua coz now dayz matepel kila konaa! naomba ushauri wako ni njia gan salama ya kueza kununua mzigo e-bay, mwenye mawazo naomba anisaidie hivi vitu bado wengine wageni kabisaacrack ni software iliochakachuliwa, kwa case yako hapo inakusaidia kucheza game bure bila kulipia (activation)
mkuu hizi desktop na laptop nzito hazina maana kununua huko ebay maana gharama ya kuileta huku ni kubwa sana,mkuuu kuna pc zipo e-bay na bei zake zipo poa xanaa,ila nina mashaka kununua coz now dayz matepel kila konaa! naomba ushauri wako ni njia gan salama ya kueza kununua mzigo e-bay, mwenye mawazo naomba anisaidie hivi vitu bado wengine wageni kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hapa tz laptop hizi nimejarb kuzitaft lakin hakuna iliyo chini ya 1.m used,e-bay kuna moja nimeona inafika 400usdmkuu hizi desktop na laptop nzito hazina maana kununua huko ebay maana gharama ya kuileta huku ni kubwa sana,
umehakikisha hapa Tanzania hamna? maana kwa pc ukitafuta sana gharama ni sawa.
kwa bei hio mkuu unaweza ukanunua ebay, shiping ni around dola 100 hadi 150 hivi.kwa hapa tz laptop hizi nimejarb kuzitaft lakin hakuna iliyo chini ya 1.m used,e-bay kuna moja nimeona inafika 400usd
Sent using Jamii Forums mobile app
tembelea hapa
simfahamu personal ila ni member wa muda wa mrefu.nimeangalia naona bado kwa requrements zangu hazitanifaaa,nyigi ni GT mm nataka GTX mkuuu,ila huyu jamaaa Mwl.RCT ni wa kuamini kwel mkuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app