Fifa 14 demo is out now

Fifa 14 demo is out now

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
kwa wale ambao wenzangu na mimi hawawezi kuisubiria fifa 14 full version unaweza kujaribu kucheza demo yake na kuona inafananaje unaweza kuchukua mzigo hapa Download the FIFA 14 Demo | FIFA | EA SPORTS, au kwa wale wapenda torrent pakueni hapa http://kickass.to/usearch/fifa 14 demo/

' fifa 14.jpg

mzigo kamili unatoka tarehe 26 mwezi huu hii ni kwa pc version!!,,timu za kwenye demo zipo nane ambazo ni dortmund,barca,psg,spurs,man city,new york red bulls pamoja,ac milan na unique FIFA Ultimate Teams in,enjoy!!!!
 
kaka umeniwahi nilikuwa na mimi nakuja kuweka link ya demo. check hii commercial yao

Last edited by a moderator:
man u haipo? madrid haipo? bayern haipo? wamezidi kuonesha mapenzi yao yakimessi. nasubiri lile game la christiano ronaldo au ribery litoke
 
nimeiona kaka demo yao dah jamaa wako serious mno!!! nimecheka sana commercial ya lewandoski na dempsey
 
Last edited by a moderator:
man u haipo? madrid haipo? bayern haipo? wamezidi kuonesha mapenzi yao yakimessi. nasubiri lile game la christiano ronaldo au ribery litoke

ndo maana ikawa demo kaka ukitaka timu hizo lazima uchukue mzigo kamili jana nilijaribu kucheza lakini unaweza kuwapata wachezaji wote mastaa na kitu cha ultimate team hii ni miongini mwa feature nzuri zinazopatikana katika fifam14
 
Go East, Go West, Lionel Messi is the Best.
 
ndo maana ikawa demo kaka ukitaka timu hizo lazima uchukue mzigo kamili jana nilijaribu kucheza lakini unaweza kuwapata wachezaji wote mastaa na kitu cha ultimate team hii ni miongini mwa feature nzuri zinazopatikana katika fifam14

sasa fifa wao wanajisifu ni wazee wa reality, reality bayern ndo wakali wa ulaya mi kabla sjanunua game lazima niwatest iweje wasiwepo kwenye demo?

1Portada_PES_2014.jpg
 
haya mzee wa pes pia pes demo imetoka jana,nitadownload full version na kucheza kuona linafananaje nikiona nothing new nalifutilia mbali as usual.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom