Kwa nini unataka hizo za 13 wakati 14,zishatoka na fifa april wanatoa world cup version,huoni kama unaidhulumu nafsi yako by the way jaribu kusearch topic za nyuma kuhusiana na hizo ga,e kuna wadau wengi sana wapo willing kusaidia so pekua pekua utampata wa kukusaidia
Mkuu nina PES14 ila pc yangu haijameet requirements. Inachezeka lakini kwa kusua sua..kwa hiyo inanipotezea timing.
Ingia hapa udownload for free Bongo BITZ©.
Mkuu nina PES14 ila pc yangu haijameet requirements. Inachezeka lakini kwa kusua sua..kwa hiyo inanipotezea timing.
Inachezeka lakini sio kwa flow ile yenyewe. Ndio maana nahitaji 2013..
Hakuna matata mkuu. Nimeipata ya 14 ila kwa mazoea ya pes hii fifa kama inanishinda vile. Labda nipate game pad.