Jamani hii fiesta..mbona iko low sana mzuka wake...
Sound
Dj
Wasanii
Mcs
Mashabiki wanalazimisha tu shangwe!!!!
#playback #playback inaboa jamani..
Imagine hizi ngoma za snura kungekuwa na drum pale kati.zinapigwa ingekuwaje????
Mbona maisha club wanapiga live tena ni club,, leo hii show kubwa
#playback ?????? Haiji,, naenda zangu kulala kaaaaaaaaaaaaahhhhh!!! Hasa Dj kanivuruga sana...