SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Mnaoenda fiesta chukueni tahadhari na vijana wa Panya Road maana ndo wakati wao wa kuvuna Smart phone na chenji chenji zilizobakia.
Unao uhakika?Msitishe watu. Hapa leaders ulinzi kila kona. Hata wakati wa kuondoka tutasindikizwa mpaka makwetu. Imòooòoooooooo!
Whaaaaaaat!Karibuni wote bia zimeshushwa bei ukiwa na 1000 unapata bia 3
Chunga usilewe sana ukaliwa dodo na panya road mkuuHapa ni GAMBE mpaka pakuche
Imo wapi mkuu hili tangazo huwa silielewagi nilikuwa natafutaga mtu wakunieleweaha huwa limamaanisha niniMsitishe watu. Hapa leaders ulinzi kila kona. Hata wakati wa kuondoka tutasindikizwa mpaka makwetu. Imòooòoooooooo!

wajanja hawaendi kwenye show hiyo. Bali mijitu mishamba tu
Sure Wanaoenda kwenye fiesta wengi ni washamba
Unafahamu uwiano wa askari polisi mmoja analinda watanzania wangapi?Sasa jipe moyo na usubiri upelekwe mpaka nyumbani.Msitishe watu. Hapa leaders ulinzi kila kona. Hata wakati wa kuondoka tutasindikizwa mpaka makwetu. Imòooòoooooooo!
mmmmh weweHapo jirani kuna baa inaitwa FOUR WAYS kuna pagala watu wanaendaga kukamuana Unampa mlinz jero tu unakamua kicheche chako fasta fasta.