Fiesta Kufanyika Hadi Asubuhi....?

Mpaka asubuhi, watakaoweza kwenda kuselebuka fresh, maisha ndiyo haya..
 
Hii ndio Darisalama hakuna sheria kwenye mji huu it's a free state kama wamachinga wameruhusiwa kumwaga biashara barabarani kwanini mambo mengine yasiruhusiwe kwa kifupi tu Bongo watu hawalaliii
 
Na bado sana mpaka utawala uhuu uishe tutakuwa tushashudia mengi sana apa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…