Chama la wanaNimesikia leo kwenye kipindi cha Jahazi na Amplifier kwamba Fiesta itafanyika hadi asubuhi.
Kibonde alisema 'asalam aleykum mh Magu kwa kauli mbiu hapa kazi tu' kwamba bandarini watu wanapiga kazi mpaka asubuhi na Fiesta ni kazi hivyo itapigwa mpaka asubuhi!
Je ndio kusema ruhusa imetoka juu?
Au boss mwenyeweLabda mtoto wa boss karuhusu
Uvune nini?Ngoja nichukue kapu nikavune
Mjini hapa hata umbea tutavunaUvune nini?
Kama ni kweli basi hiyo ndiyo tafsiri ya kuwa Mtoto wa Mjini au umuhimu wa connection.Nimesikia leo kwenye kipindi cha Jahazi na Amplifier kwamba Fiesta itafanyika hadi asubuhi.
Kibonde alisema 'asalam aleykum mh Magu kwa kauli mbiu hapa kazi tu' kwamba bandarini watu wanapiga kazi mpaka asubuhi na Fiesta ni kazi hivyo itapigwa mpaka asubuhi!
Je ndio kusema ruhusa imetoka juu?
Kama ni waliponda hivyo basi itakuwa boss katoa ruhusaKwa jinsi Kibonde alivyokuwa anaponda kumaliza saa sita, na jinsi alivyokuwa anasisitiza hapa kazi hii ruhusa imetoka kwa boss...
Makongamano km ayo ndio huwa sinaga nayo nyege bora pesa angu ninywe mznga ndani kwangu.