Field ya ufundi bomba

Pl power

New Member
Joined
Apr 2, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Habarini jf member naombeni mwenye uelewa kuhusu sehemu wanazohusika na mambo ya ufundi bomba anipe muongozo
Mimi ni mwanafunzi wa bomba kutoka katika chuo ( ..... )
Ila isiwe dawasa pia kuwe hata na posho kidogo naoatikana mbagala
Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kujifunza au unataka posho??

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Nenda chuo kikuu Udsm idara ya Real Estate watakuchukua tu we peleka barua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…