field work july-september

Darling

Member
Jul 30, 2007
69
1
Wana Jamii,

I am looking for an office ya kufanya field work from july to august for my sister.

She has diploma in Business Administration and now she has enrolled for Degree in Business Administration first year at Colledge of Business Education.

She is particularly looking for an office which will atleast pay her during the field work.

Najua hapa kwa wanajamii hapashindikani kitu.
 
Ninavyofahamu mimi ndugu yangu Darling, suala la Field ni la mwanafunzi wenyewe na matarajio yake hasa kwenye chaguzi zake za mahala pa kufanyia field, si maanishi kwamba usimtafutie hapa ila yeye angependa kwenda kufanya wapi field nafikiri ndio ingekaa vizuri sana na kurahisishia waungwana kuweza kutoa msaaada kwa haja hiyo unless awe hajui kabisa pa kwenda kufanyia field na makusudio ni wana JF kupendekeza yeye pa kwenda kufanya field itakayotosheleza matakwa ya Diploma yake na pengine msaada kabisa wa kupata nafasi. Ni Ushari tuu.
 
Kuntakinte/Wanajamii:

Ni kweli tunapenda laini laini,especial hawa watoto wa mama.

Any way if we could assist just to know offices zinazo accept field and pay pls;mwisho wasiku ni mdogo wetu.

She will prefer in:
- Administration/Hr
- Sales & Marketing

Bank or any organisation where she can get oportunity to learn na si kupanga files.

Darling
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom