Fidelity

Fidelity

Shashi nalley

Senior Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
136
Reaction score
111
Look the following picture, and examine critical, sema kitu
5318ceb36222cbdf668e177feb6a8668.jpg
 
hahahaha umenikumbusha kuna demu mmoja bwana alikuwaga wa ajabu sana ila nilikuwa simpendi kabisa sasa siku moja nipo A level nikakutana naye amebeba mikungu ya ndizi kachoka huyo mimi huku nilikuwa nafurahi ....

Sasa juzi kati bwana nilikutana naye.... aisehhhh kawa mzuri ana biashara nzuri ya urembo, nguo, na vitu vingine nilijikuta namtamani. hapo hapo nikamuomba ata awe mentor wangu na mimi nifanye biashara ata ya kuuza mikoba ya kike
 
Wakati niko sekondari tulikuwa tunadanganyana kuwa tunasomewa kwa hiyo hatustahili kukomaa kumbe ni kweli? bi dada kafeli lkn anakula life.
 
Yaan hapo.ni kwamba wote mmefeli shule.mwenzio anaolewa na mwenye pesa.wewe unataabika mtaani.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
  • Thanks
Reactions: ydn
hahahaha umenikumbusha kuna demu mmoja bwana alikuwaga wa ajabu sana ila nilikuwa simpendi kabisa sasa siku moja nipo A level nikakutana naye amebeba mikungu ya ndizi kachoka huyo mimi huku nilikuwa nafurahi ....

Sasa juzi kati bwana nilikutana naye.... aisehhhh kawa mzuri ana biashara nzuri ya urembo, nguo, na vitu vingine nilijikuta namtamani. hapo hapo nikamuomba ata awe mentor wangu na mimi nifanye biashara ata ya kuuza mikoba ya kike
Funzo zuri mno
 
Back
Top Bottom