Hapa issue sio kwamba wameshindwa kumuua, sidhani ..issue ni kwamba walishindwa kupenetrate na kuweka 'contras' maana makachero wa Castro are very effective. Kumuua tu bila ya kuweka watu wao ingelisababisha chaos zaidi na maelfu ingebidi kuhamia Florida kama wakimbizi. Nways, huenda pia wameona mradi wenyewe wa kumuondoa Castro au Cuba kwa ujumla haulipi so why bother?