FID Q: Keeping It Real Vs. Keeping It Right

Kweli watu tunatofautiana mitazamo
Kiukweli hii ndio video ya kwanza kabisa ya Fid q ambayo ipo serious na kali
Unaweza usipende idea yake lakini ukweli utabaki dunia inabadilika na watu lazima wabadilike pia

Hii habari ya kukariri anatakiwa kutoa mivideo ya hovyo hovyo isiyo na viwango kwa mgongo wa hip hop ngumu hauna nafasi zama hizi
Kama unataka kutoboa na kupanua wigo basi unapiga vichupa vikali kama hivi
 

Umesomeka mzee. You are entitled to your opinion.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…