Nilikuwa nianzishe uzi kuhusu hii video music mpya ya FIQ, lengo ni kumchambua video director Nisher. Tangu nianze kuangalia video alizotengeneza Nisher, sijawahi ona kazi nzuri iliyonivutia, shida ipo kwenye creativity and co ordination, katika video mpya ya FID Q ameweka bwembwe nyingi sana mpaka ikaondoa uhalisia, kule kuunganisha picha, double image ambako kunafanywa pia na editors wa mtaaniwanao fanya video za harusi, In short sijaona lolote la ubunifu katika kazi za Nisher.
N.B Sina bifu nae, he is ma boy, i know him tangu akiwa 3yrs old (nickdavie).