FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

Unachekesha kweli,unafikiri jk alimaanisha hivyo? Kwa taarifa yako TPDF walikua tayari wamefika congo kumdaidia kabila kupambana na M23,alisema vile kwani alijua haitawezekana rwanda kuongea na FDLR,mbona mipango ya kusaidia FDLR inajikana tangu zamani sasa tz mnajifanya wakali wakati ni nyie mmelikologa,huo ndio tunaita unafiki.

subirini cha moto mtakiona.
 
Nimepitia thread moja hapa jf inaonesha wanajeshi wa Tanzania(FBI) wamefanikiwa kuiteka ngome kuu ya M23 huko Congo...jaman haya niyakweli? maana sijaona sehem nyingine zaidi ya hapa jf

Acha uvivu aw kuitafuta habari.
 
Wala si milima tuu,wanyarwanda vitani ni watu wasiokubali kushindwa wakotayari kufa wote,wanachohitaji ni ushindi,usishangae kuona wanapigana na dunia yote,ndio maana nasema watanzania msiombe vita ya hawa watu wanaweza kuwa kimbiza tofauti ya matarajio yenu ogopa mtu anayepigana kama kamikazi.

Umewahi kuona milima ya Makete? Milima ya Rwanda itakuwa ni mzaha mkubwa kabisa
 
Kwa maelezo yako rwanda mna mipango yenu na Kivu?????

Rwanda hawana mpango wowote na kivu,ila kinacho hitajika hao congolese wenye asili ya rwanda wawaache waishi kwa amani kwani rwanda haijawahi kudai hiyo aridhi,tatizo wanawafukuza eti warudi kwao rwanda,sasa kama ni hivyo itabidi wawafukuze na ardhi yao,bilahivyo kitaeleweka.
 
Tunatakiwa tuingie mpaka Rwanda tukamalizane na Muaji Kagame!

Leo ameripotiwa kutuma vifaru mpakani,inaonekana anawatoa M23 aingize yeye majeshi yake kwa kisingizo kua FDLR wameshambulia Rwanda kwa hiyo anawasaka.Jamaa linapenda vita hili
 
Nimepitia thread moja hapa jf inaonesha wanajeshi wa Tanzania(FBI) wamefanikiwa kuiteka ngome kuu ya M23 huko Congo...jaman haya niyakweli? maana sijaona sehem nyingine zaidi ya hapa jf

Sio FBI NI FIB acronym ya Force Invention Brigade! Ni tactical n strategic force btn vikosi vya Tz na SA vilivyohuko DRC under the umbrella of UN(MONUSCO)
 
Umewahi kuona milima ya Makete? Milima ya Rwanda itakuwa ni mzaha mkubwa kabisa

AHAHA kwani unategemea utafika hata meter moja ndani ya rwanda? pole sana hawawezi kukubali kuwachafulia milima yao,mziki wote huko makete.
 
Leo ameripotiwa kutuma vifaru mpakani,inaonekana anawatoa M23 aingize yeye majeshi yake kwa kisingizo kua FDLR wameshambulia Rwanda kwa hiyo anawasaka.Jamaa linapenda vita hili

Tatizo watu wengi wako kama vipofu wanafikili jk ni malaika wa mungu,ni mtu mbaya sana kalikologa na watanzania mnaenda kutaabika kwa kutaka kuwafurahisha wa faransa na wahutu wa kirundi waliojipenyeza katika siasa za tz.
 
Rwanda hawana mpango wowote na kivu,ila kinacho hitajika hao congolese wenye asili ya rwanda wawaache waishi kwa amani kwani rwanda haijawahi kudai hiyo aridhi,tatizo wanawafukuza eti warudi kwao rwanda,sasa kama ni hivyo itabidi wawafukuze na ardhi yao,bilahivyo kitaeleweka.

hakuna anayewafukuza congo acha kudanganya!!wanachotakiwa ni kuweka silaha chini na kuheshimu uongoz wa congo na kuishi kama raia wengne!
 
Rwanda hawana mpango wowote na kivu,ila kinacho hitajika hao congolese wenye asili ya rwanda wawaache waishi kwa amani kwani rwanda haijawahi kudai hiyo aridhi,tatizo wanawafukuza eti warudi kwao rwanda,sasa kama ni hivyo itabidi wawafukuze na ardhi yao,bilahivyo kitaeleweka.

hakuna anayewafukuza congo acha kudanganya!!wanachotakiwa ni kuweka silaha chini na kuheshimu uongoz wa congo na kuishi kama raia wengne!Un wapo kwa kazi hyo!
 
Tatizo lenu watusi kwenu sio waafrika,kwanini wakati mauaji ya kimbali yalipokua yanaendelea dhidi ya watusi hakuna TPDF aliyetumwa kuwakomboa watusi? Leo watutsi na wahutu wanaishi vizuri ndio mnaamka eti mnataka kuwakomboa genociders hii ni aibu kwa watanzania kumkomboa muuaji,congo mauaji yanafanywa na FARDC pamoja na MAIMAI watusi wameamua kujilinda.

Kwanza urekebishe hapo kwenye blue. Mauaji ya kimbali yalikuwa dhidi ya wanyarwanda (Wahutu na watusi), hivyo watusi mnakosea kufikiri kwamba wahutu wengi waliouawa na watusi wa RPF siyo watu. Wahutu waliwaua watusi na watusi waliwaua wahutu wakiwemo mpaka akina Habyarimana na Ntalyamira wa Burundi. Ilikuwa ni kosa kwa international community ikiwemo TZ kutosimamisha mauaji dhidhi ya wahutu na watusi waliouawa rwanda kipindi hicho. Lakini pia kosa halipati suluhu kwa kufanya kosa lingine. Kwa hiyo huu ni wakati sahihi, kupitia jeshi la UN, wa kuepusha mauaji makubwa zaidi hasa baada ya KAGAME na serikali yake kuua watu wengi huko DRC kwa kukitumia kikosi chake kiitwacho m23. Na si kweli kwamba Rwanda wahutu na watusi wanaishi vizuri. Watusi wengi wanaishi vizuri, lakini wahutu wanaishi kwa hofu na wamenyamazishwa kwa mkono wa chuma wa kagame. Kwani mhutu akiinuka kidogo huambiawa kuwa ni genocider., wakipata mtu wa kulianzisha, ndipo utajua kuwa serikali ya kagame inachukiwa ni hakuna.
 
Kitu nilicho gundua humu jamvini kuna watu wasi weza kutofautisha rwanda na congolese rwandaphone,hilo litawachanganya,hii tofauti inaweza tafsiliwa na alie kata mipaka ya afrika wanyarwanda ni watu ambao hawawezi kuacha utamaduni wao hata ukiwapeleka ulaya watabaki kua wanyarwanda.

Hapo kwenye bold, unaposema wanyarwanda una maanisha watutsi ama wahutu? maana labda sijakupata vyema hapa kuna tones kama watutsi ndo wanyarwanda tu.
 
Rwanda hawana mpango wowote na kivu,ila kinacho hitajika hao congolese wenye asili ya rwanda wawaache waishi kwa amani kwani rwanda haijawahi kudai hiyo aridhi,tatizo wanawafukuza eti warudi kwao rwanda,sasa kama ni hivyo itabidi wawafukuze na ardhi yao,bilahivyo kitaeleweka.

Inajulikana wazi kwa nini Kagame alimuua kabila Sr..Ni kuonekana kugoma kutoa Congo mashariki iwe Rwanda kitu ambacho waliwekeana mkataba kabla ya Kabila kupindua Zaire.Kabila alisema Congo si mali yake mpaka aigawe...ndio mwanzo wa matatizo mpaka sasa ...na wewe nimesoma hapa umeandika kuwa Masharikia ya Congo ni Rwanda na inamajina ya kinyarwanda (siwezi bisha zanani hatukuwa na mipaka hii ya sasa kabla ya mkoloni,ila tunaishi na mipaka hiyo sasa,no way no how)...Kagame anaiba madini Congo anaua watu Congo ...so bad.Ila it is the begining of his end...he must go.Kuna wa tutsi tuko nao TZ safi tu sisi sio wabaguzi ila kwa sasa tunatakiwa kuwa makini na watutsi aina yako
 
Tatizo watu wengi wako kama vipofu wanafikili jk ni malaika wa mungu,ni mtu mbaya sana kalikologa na watanzania mnaenda kutaabika kwa kutaka kuwafurahisha wa faransa na wahutu wa kirundi waliojipenyeza katika siasa za tz.
rooivalk2.jpg
FARDC ‏@FARDC1329 Aug
SA # Pikkie Greeff RSA to deploy 2 Rooivalk helicopters to the DRC to increase the firing power of the UN Intervention Brigade.

Unajua sifa ya hiyo Rooivalk???? endeleeni kuweka vifaru vyenu na mkiishambulia Drc mnatakuwa mmetangaza vita Rasmi na Monusco. rooivalk2.jpg
 
Kama redio inapiga sana kelele bila kukoma na ukijaribu kupunguza sauti inakataa, dawa ni kuchomoa waya wa umeme ama kutoa betri kwa sisi tulio kijijini. Nadhani waungwana mmenielewa in relation to our noisy neighbours :kev: TPDF - FIB nice work.

For our noisy neighbours :kev: this is just a warm up, we have not yet started working it.
 
Back
Top Bottom