FFU Sinza kuna nini Watanzania?

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
830
Reaction score
184
Jamani tunaomba mwenye taarifa atujuze kuna nini Sinza FFU wengi sana Sinza na magari wamewasha taa.
 
Au kuna kamgomo kengine?? manake watu wamechoshwa na nchi hii....
 
sinza kubwa, sinza ipi, makuburini, mori, kijiweni, mugabe??/
 
Au wanawatisha wakazi wanaoishi maeneo anayoishi Mbunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…