ligendayika JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,183 Reaction score 199 Sep 2, 2012 #21 State mashinery
binde23 New Member Joined Sep 2, 2012 Posts 2 Reaction score 1 Sep 2, 2012 #22 DASA said: Hivi kweli hawa jamaa ni waTZ kweli, mi sura zao wengi nikiziangaliaga na jinsi walivyo hawafananii kabisa. Click to expand... Duuh! hata mie umeniamsha ndg, inawezekana kweli hawa jamaa c wa-tz mana nashangaa cjui ht wana mioyo gani aisee??
DASA said: Hivi kweli hawa jamaa ni waTZ kweli, mi sura zao wengi nikiziangaliaga na jinsi walivyo hawafananii kabisa. Click to expand... Duuh! hata mie umeniamsha ndg, inawezekana kweli hawa jamaa c wa-tz mana nashangaa cjui ht wana mioyo gani aisee??
Az 89 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 1,658 Reaction score 698 Sep 2, 2012 #23 Hayana akili yale, kula yenyewe ya shida afu bado hayaelewi
MissM4C JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,741 Reaction score 1,006 Sep 3, 2012 #24 DASA said: Hivi kweli hawa jamaa ni waTZ kweli, mi sura zao wengi nikiziangaliaga na jinsi walivyo hawafananii kabisa. Click to expand... form 4 failureq
DASA said: Hivi kweli hawa jamaa ni waTZ kweli, mi sura zao wengi nikiziangaliaga na jinsi walivyo hawafananii kabisa. Click to expand... form 4 failureq
S Starn JF-Expert Member Joined Oct 10, 2011 Posts 396 Reaction score 66 Sep 3, 2012 #25 Kahungo said: I thnk huwa wanazitoa stress na ugumu wa maisha yao kwa raia wasio na hatia . Click to expand... hawana stress yoyote bali wana follow orders kutoka kwa wakubwa.
Kahungo said: I thnk huwa wanazitoa stress na ugumu wa maisha yao kwa raia wasio na hatia . Click to expand... hawana stress yoyote bali wana follow orders kutoka kwa wakubwa.
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,767 Reaction score 6,862 Sep 3, 2012 #26 matusi tunayowapa wanausalama wetu sidhani kama tunakuwa tumewaza kwa hekima na busara.....hasira zetu zisifanye tusione umuhimu wao
matusi tunayowapa wanausalama wetu sidhani kama tunakuwa tumewaza kwa hekima na busara.....hasira zetu zisifanye tusione umuhimu wao
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,767 Reaction score 6,862 Sep 3, 2012 #27 we will feel their absence when they are not there.....! lets think twice on matters
K Kintiku JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 617 Reaction score 322 Sep 3, 2012 #28 Mkuu wa kikosi cha FFU hivi ni nani siku hizi? Niliwahi kusikia tetesi kuwa mojawapo ya makamanda wakubwa kabisa wa FFU inasadikiwa anatoka Rwanda (Mtusi) ila mke wake mdogo ni Mtusi kabisa.
Mkuu wa kikosi cha FFU hivi ni nani siku hizi? Niliwahi kusikia tetesi kuwa mojawapo ya makamanda wakubwa kabisa wa FFU inasadikiwa anatoka Rwanda (Mtusi) ila mke wake mdogo ni Mtusi kabisa.
A augustino ameri JF-Expert Member Joined Jul 5, 2012 Posts 267 Reaction score 57 Sep 3, 2012 #29 MARoboti yale YAONE YAKIWA KWENYE difenda ,HAYANA MUDA WA KUFIKIRI, RISASI INAKOTOKA NDIKO WAENDAKO.