G M S JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 502 Reaction score 53 Dec 21, 2011 #1 Ninapoplay baadhi ya nyimbo kwenye computa pale chini kulia naona maneno haya na nnapoyaclick inaonekana kama ni configuration je ni nini hv na nifanyaje?
Ninapoplay baadhi ya nyimbo kwenye computa pale chini kulia naona maneno haya na nnapoyaclick inaonekana kama ni configuration je ni nini hv na nifanyaje?
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,848 Reaction score 1,409 Dec 22, 2011 #2 kwani yanakupa shida yoyote? nafikiri ni music file format
G M S JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 502 Reaction score 53 Dec 22, 2011 Thread starter #3 Bushbaby said: kwani yanakupa shida yoyote? nafikiri ni music file format Click to expand... hapo mwanzo hizi abrevationhazikuepo ila hivi sasa zinanishtua na nikizigusa na cusor zinaonesha maneno mengi mfano wa msg hivyo naomba kujuzwa!
Bushbaby said: kwani yanakupa shida yoyote? nafikiri ni music file format Click to expand... hapo mwanzo hizi abrevationhazikuepo ila hivi sasa zinanishtua na nikizigusa na cusor zinaonesha maneno mengi mfano wa msg hivyo naomba kujuzwa!