Fevushka unanimaliza

Fevushka unanimaliza

20240729_154338.png
 
Huyu presenter wa eatv kipindi cha 5 select Fevushka ananibamba sana kuanzia sura na appearance kwa ujumla(modo) ni aina ya sampuli ya wasichana wenye sifa zote zinazonivutia in short she is my crush.
Dedication song
Yule~Ay ft Marioo
NIMEFUNGA UZI
Kwa hiyo ukikaa karibu na Teevee na kumuona huyo "mamushka" unakuwa unambusu kwenye screen tu?
 
Back
Top Bottom