watoto wako wa Mugumu wanakusalimia baba yao!!!!mke wako Robi yeye anasema ameshakusamehe kwa kumuacha na kuchukua wa mjini!
kweli anaboa,, vipindi vyote anavyovitangaza haendani navyo, cjuwi pm wa tbc tv anatambua hilo.
Wengine wanasema anatoa coverage kubwa kwa dhehebu lake mengine anabania
hahahaahahaaaa!!!
Nyie bana.
Mi huwa namuona kama amefuta bange mbichi. Kumbe wenzangu mnamuona anapatia!!??!! Duh!!
ni kwel nyimbo za RC na Wasabato ziko poa sana hazina makeke mengi kama za kina rose mhando.ila ninamashaka na RC kwa siku za uson nahisi wataanza kurukaruka na kukata viuno kama wafanyavyo waumini flan wa madheheb ya ki-born again.Kwani kubeiz R.C inawakera nini,hivi nyie wapenda boringo-za mungu mkoje? Unataka iwekwe nyimbo watoto wako waanze kulukaluka sebuleni hapo unasikia raaaaha.
Si ndio yule anayesemaga Zama-damuuuuuu!