GE2025 Festo Sanga ashinda Kura za Maoni Jimbo la Makete

GE2025 Festo Sanga ashinda Kura za Maoni Jimbo la Makete

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Festo Richard Sanga ambaye anatetea nafasi yake amepata kura 4,104 akimshinda Dr.Toba Nguvila aliyepata kura 2,359 na kufuatia na mfanyabiashara Award Mpandilla aliyepata kura 946.Wengine ni Prof.Norman Sigalla 103 aliyepata kura na Selina Msigwa aliyepata 21.

IMG_5818.jpeg
 
FESTO SANGA ASHINDA KURA ZA MAONI MAKETE

Mbunge wa Makete anayetetea nafasi yake Festo Richard Sanga ameshinda kwenye kura za maoni kwa kupata kura 4,104 akimshinda Dr. Toba Nguvila aliyepata kura 2,359 na kufuatiwa na Mfanyabiashara Award Mpandilla aliyepata kura 946.
 
Festo Richard Sanga ambaye anatetea nafasi yake amepata kura 4,104 akimshinda Dr.Toba Nguvila aliyepata kura 2,359 na kufuatia na mfanyabiashara Award Mpandilla aliyepata kura 946.Wengine ni Prof.Norman Sigalla 103 aliyepata kura na Selina Msigwa aliyepata 21.

Hongera sana Festo swahiba wa Mwigulu, mkurugenzi wa Singida Black Stars na kampeni Meneja wa Mwigulu 2015
 
Back
Top Bottom