Kiingilio kitakuwepo, na itategemea iwapo utakata tiketi ya msimu mzima wa Fest hiyo au utakata tiketi kwa ajili ya tukio fulani katika Fest hiyo. Viingilio vyote vipo katika Euro. Aidha viingilio vitatangazwa rasmi katika wiki ya 25 ya mwaka huu.....Karibu sana
Ngoma Afrika Band...Kushambulia Jukwaa siku ya Jumamosi tarehe 18/07/2009 Katika ukumbi wa Klubi Tampere.
Ni Sehemu ya Fest Afrika Tampere. Zaidi kong'oli hapa