Fest Africa

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,419
2,270
Fest Africa-Winter Jam
i26_FestAfrikaWinter2009.jpeg.jpg
 
Fest Afrika kubwa (Summer Jam) ya siku mbili inategemewa kuanza tarehe 17/07/2009 hadi 18/07/09 katika kumbi za Klubi na Tellaka
 
Huyu Tabia Mwanjelwa ananikumbusha zile enzi za Marquis na Orchestre Safari Sound. Bado wamo kumbe?
 
Huyu Tabia Mwanjelwa ananikumbusha zile enzi za Marquis na Orchestre Safari Sound. Bado wamo kumbe?
Tabia yupo na anaendeleza libeneke kama kawa, aidha katika Fest hii atasindikizwa na Ngoma Africa Band..
 
Kuna kiingilio au ni bure?? Maana sikuona kama ni shlingi, paundi au dollar,euro ngapi!!
Kiingilio kitakuwepo, na itategemea iwapo utakata tiketi ya msimu mzima wa Fest hiyo au utakata tiketi kwa ajili ya tukio fulani katika Fest hiyo. Viingilio vyote vipo katika Euro. Aidha viingilio vitatangazwa rasmi katika wiki ya 25 ya mwaka huu.....Karibu sana
 
Ngoma Afrika Band...Kushambulia Jukwaa siku ya Jumamosi tarehe 18/07/2009 Katika ukumbi wa Klubi Tampere.
Ni Sehemu ya Fest Afrika Tampere. Zaidi kong'oli hapa

attachment.php

 

Attachments

  • Ngoma Africa2.jpg
    Ngoma Africa2.jpg
    64.5 KB · Views: 78

Similar Discussions

Back
Top Bottom