Ferre gola -Maboko pamba: Msaada wa Tafsiri .

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
218
Reaction score
319
Nawasalimu nyote, lakini salamu aidi iwafikie nyote mlio wadau wa nyimbo toka Congo.
Ninaomba kwa yeyote anayejua Lingala anisaidie kujua Tafsiri au maana ya wimbo wa Ferre Goma -Maboko Pamba.
Wimbo huu ninupenda sana sana lakini ijui maana ya wimbo wenyewe. Tafadhali angalau nijue anaimba kuhusu nini.
 

Attachments

Hauna audio mkuu
hiyo video itamaliza kabando kangu
 
Ninayo hili song pia but don't have an idea...Zomboko anajusika[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…