Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Fasihi siyo lazima itoe ujumbe wa moja kwa moja au wa aina moja kwa watu wote. Sema huo ni mtazamo na uelewa wako.
unajiita kalamu nzito halafu hujui kazi ya fasihi inavyofanya kazi, we ni penseli nyepesi
Hujaelewa hoja mkuu!Hatuwezi kupindisha facts kisa fasihi. Suala la dhamana ni suala la kisheria. Lazima tutazame kitaaluma pia na sio kifasihi tu ili uburudike. Natumaini umepata kitu.
Wimbo (umoja) na Nyimbo (wingi), mnaharibu kiswahili kwa makusudi kabisa.
Hujaelewa hoja mkuu!
Halafu hujui fasihi! Naona kwako fasihi ni kuburudisha TU!
Hakuna elimu ya Nyimbo ukimaanisha umoja kwenye kiswahili, elimu ni pana kweli kubali kujifunzaSidhani kama kiswahili chako hakina dosari kwa asilimia 100. Tuendelee kujifunza elimu ni pana sana.
Hakuna elimu ya Nyimbo ukimaanisha umoja kwenye kiswahili, elimu ni pana kweli kubali kujifunza
Haya weka hayo maneno unayotaka katika wimbo tukuchangie ukarekodi na wewe sasa.Wimbo wa Ferooz maarufu kama “Wema wangu umeniponza” ni wimbo unaosimulia namna dhamana ilimponza mtunzi. Ferooz anamuwekea dhamana rafiki yake ambaye alikamatwa kwa kosa la jinai. Baada ya kutolewa kwa dhamana, rafiki yake anatumia mwanya huo kutokomea kusikojulikana. Ferooz, akiwa kama mdhamini wa mtuhumiwa, anakamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha.
Kiuhalisia, kumuwekea mtu dhamana haimaanishi kwamba unabeba tuhuma au mashitaka yake. Hivyo, mdhamini hawezi kuhukumiwa kwa makosa ya mtuhumiwa/mshitakiwa pale ambapo mtuhumiwa/mshitakiwa huyo atatoroka. Mdhamini atawajibika kwa kiasi cha fedha au mali aliyotumia kuweka dhamana hiyo tu.
Licha ya kasoro hiyo, nyimbo ni nzuri sana na inaishi mpaka leo kwani, inaangazia ukweli mchungu wa namna gani tunaweza kuumizwa kwa kutenda wema.
Haya weka hayo maneno unayotaka katika wimbo tukuchangie ukarekodi na wewe sasa.
Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
Walimu wako walikuwa na kazi sana!Hatuwezi kupindisha facts kisa fasihi. Suala la dhamana ni suala la kisheria. Lazima tutazame kitaaluma pia na sio kifasihi tu ili uburudike. Natumaini umepata kitu.
Walimu wako walikuwa na kazi sana!