Ferndale woman suing after she fell asleep on plane

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
A woman from Ferndale, Mich. is suing United Airlines after she was left alone on a plane for hours after it had landed.
Ginger McGuire was aboard a United Express DC to Philadelphia. She says she fell asleep during the flight. It landed shortly after midnight Tuesday but no one woke her up until a cleaning crew found her four hours later.
says they are working with a regional partner carrier to determine why the plane wasn't cleared upon landing.
McGuire told reporters, "I fell asleep on the plane and next thing you know I wake up, it's 4:00 in the morning. Nobody's on the plane. Nothing."
McGuire has hired Geoffrey Fieger who is filing a lawsuit for false imprisonment, emotional distress and negligence.

kuangalia Video bonyeza hapa Ferndale woman suing after she fell asleep on plane - Yahoo! News
 
Ha ha ha, ndio individualism inapoipeleka dunia huku. Kila mtu anajali nafsi yake tu. Na cabin crew inaonekana hawalipwi vizuri hivo hawaoni sababu ya kujituma.
 
Ha ha ha, ndio individualism inapoipeleka dunia huku. Kila mtu anajali nafsi yake tu. Na cabin crew inaonekana hawalipwi vizuri hivo hawaoni sababu ya kujituma.

Huyu mwanamke lazima alikua ametumia vibugizi au alikua amelewa. There is no way utaniambia
umelala fofofo na huku abiria wenzio wanashuka husikii kitu. Pia kumbuka kua kabla ndege haijatua
rubani huwaambia abiria wafunge mikanda yao in anticipation of landing...huyu mama hakusikia hilo
tangazo?

Afu pia safari yenyewe ilikua fupi ya kama lisaa limoja na unataka kun'ambia hio mbonje ilikua
tamu sana kwa m'da mfupi kama huo? Kama ingekua tripu ya across Atlantic au Africa ningesema
OK safari ndefu na ya kuchosha. Huyu wakili wake anajulikana hapa Detroit kukurupukia kesi
lakini kuna samtaimu anachemsha. Hebu tizama eti amongst the charges ni 'false imprisonment'...
kana kwamba jamaa za ndege walikusudia kumzuia asishuke...Geofrey Fieger banaa!!!

That said nakubaliana nawe kua Cabin crew inabidi wafanye sweep ya ndege when everyone has
disembarked na in this instance walikua lax.Huyu mazaa kaona chance ya mshiko hapa and that is
her driving force.
 
Abuu, hiyo ndo indivudualism..

Maza kaona nafasi ya bingo na kuwa famous, anataka ku-capitalize..lol
 
Abuu, hiyo ndo indivudualism..

Maza kaona nafasi ya bingo na kuwa famous, anataka ku-capitalize..lol

Abdulhalim,

Afu juzijuzi hapa mtaani kwetu kulitokea kesi ya mauaji jamaa akaidandia mbio mbio lakini
baadae akaona kadandia basi kwa mbele na akaibwaga kiaina. Ilikua hivi..kuna kijana mmoja
wa miaka 17 alipigwa risasi na kuawa na jamaa flani ambaye simply 'didnt like the way the kid
was looking at him'. Huyo jamaa baada ya kufanya mauaji alienda kujificha katika nyumba
ya mshkaji aliyekua naye when he committed the murder. Polisi walipoanza msako wa kumtafuta
huyu bwana walipata tip kua kajificha katika nyumba flani na wakaenda kumsopoa.

On entering the house sijui ilikuakua vp maana kuna account mbili tofauti lakini bastola ya polisi
ili-fire na kuna mtoto mdogo wa miaka 7 aliyepigwa risasi na akafa.Hata hivyo yule muuaji wa yule
ba mdogo alipatikana mle ndani ya ile nyumba. Babake yule msichana akaanza kulalamika eti mwera
zimemua mwanae na Geofrey Fieger akakimbilia ku-sue Detroit Police Department akijua kuna hela
kibao itapatikana.

Then things started getting clearer kua huyu client wake was harbouring a murderer na pia kuna
witnesses ambao waliweza kumplace at the scene of the murder of the 17yr old boy. Polisi went ahead
and charged the killer na wakamwambia Fieger kua they are coming for his client next maana wana
witnesses na yule bwana waliye naye alikua tayari ku-cooperate na kumplace jamaa as the get away
driver. Afu pia wangemcharge na mauaji ya mwanae maana if he had not harbored the criminal
then the death of his daughter would not have happened. Kisha huyu jamaa alikua na mikesi kibao
na mwera and his criminal record spoke for itself.

Geofrey Fieger akasikia kuchoka kweli na ikabidi a-withdraw lawsuit yake kimpango.

Hii nayo pia itakua hivyo hivyo tu maana the airline lawyers will punch holes in his witness'
testimony.
 
Mkuu Ab-Titchaz Nakubaliana na maneno yako unayoyasema huenda huyu Mwanamke alikuwa amelewa ndio maana alikuwa amelala ndani ya ndege fofofo usingizi mzito utafikiri yupo ndani ya kitanda chake tena nyumbani kwake heeheh. Mie tangu nisafiri sasa ni miaka 18 sikumbuki lini niliwahi kulala ndani ya ndege nashangaa huyu Mwanamke amelewa Usingizi na kulala tena usingizi mzito? Kasheshe kweli huyu Mwanamke atakuwa amelewa tu nijuavyo mie katika ndege waweza kusinzia tu sio kulala kiasi cha ndege kutuwa salama wewe bado umelala kazi kweli. Nimeianzisha hii Topic lakini Siwaoni ndugu zangu Walokole wa hii JF kulizungumzia hili jambo lakini ingelikuwa huyo Mwanamke ni muislam au ana jina la Kiarabu basi Walokole wa humu JF Wangerukia hii Threat na kupaka Matope kashehse kweli ndugu zangu Walokole wa humu JF Asanteni.
 
Sasa wewe ni utumbo gani huu unaleta? Kaa huna hoja KAA KIMYA, endelea na kazi unayoieweza ya kukopi na kupaste.
 
Sasa wewe ni utumbo gani huu unaleta? Kaa huna hoja KAA KIMYA, endelea na kazi unayoieweza ya kukopi na kupaste.

Lmfao, good point kusema kweli, jamaa anataka kuinstigate trouble with the religious folk. . .:brick:
 
Nilijuwa nitajibiwa Utumbo kama huo mnaosema ndio maan nikasema hivyo ingelikuwa Muislam au ana Majina ya Kiarabu wangesema huyo ni Gaidi lakini wapi Mungu anawasuta Mtu wao Mwenyewe analala ndani ya ndege utafikiri yupo chumbani kwa mume wake Kashehse kweli na hii dunia ya sasa watu wapinga Uislam na kuipa majina mabay kwa sababu Uislam ndio njia anayotaka Mwenyeezi Mungu

3. SURAT AL I'MRAN
19

19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
 
wewe ndio umechanganyikiwa kiasi cha ukweli unambiwa huoni au ulitaka niweke aya za Biblia?
Kwani kueka ayat nimekwambia nashindwa mpaka uniwekee wewe? Mhh kweli kuchanganyikiwa kubaya..stori inahusu maharagwe n'tu anakuja kuleta stori za NGURUWE..ohohohohoho.
 
:becky:
Kwani kueka ayat nimekwambia nashindwa mpaka uniwekee wewe? Mhh kweli kuchanganyikiwa kubaya..stori inahusu maharagwe n'tu anakuja kuleta stori za NGURUWE..ohohohohoho.
Nimekuzoea wewe Mlokole unapenda mambo ya Ligi itabidi uwe Mpenzi wa Timu ya Ya Simba na mimi niwe Young afriacan kisha tuanze mambo ya Ubishani nakuona wewe umelala kama huyo mwanamke aliyelala kwenye ndege Mlokole Abdulhalim Amka amka Mlokole Abdulhalim
 
He h e he nimekuwa mlokole tena..Ngoja nimalizie Scotch yangu niangalie ustaarabu kwene issue za maana.
 
He h e he nimekuwa mlokole tena..Ngoja nimalizie Scotch yangu niangalie ustaarabu kwene issue za maana.
kama ungekuwa mke wangu ningekuacha Talaka tokomea endelea na Scotch za kubisha bisha wewe Mchungaji Mlokole mkubwa nakuacha kwa leo Msubiri Mpenzi wa islam na Gavana ,X Pastor na Sadeek wakushambulie wewe Abdulhalim MPenda Ligi kwa heri nakuaga kwa leo
 
Nilijuwa nitajibiwa Utumbo kama huo mnaosema ndio maan nikasema hivyo ingelikuwa Muislam au ana Majina ya Kiarabu wangesema huyo ni Gaidi lakini wapi Mungu anawasuta Mtu wao Mwenyewe analala ndani ya ndege utafikiri yupo chumbani kwa mume wake Kashehse kweli na hii dunia ya sasa watu wapinga Uislam na kuipa majina mabay kwa sababu Uislam ndio njia anayotaka Mwenyeezi Mungu

3. SURAT AL I'MRAN
19

19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

Lol what faggotry is this?? Mambo ya kuweka maverse ya vitabu vya dini imetoka wapi tena??:confused2:
Some people need some serious mental evaluation to prove that they are fit to be allowed access to the internet as well as membership in a public forum, kweli kuna watu wamechanganyikiwa. . .:becky:
 
Back
Top Bottom