jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 480
- 640
Asante Sana, hivyo vya kwenye biashara ni elfu 75 tu ndugu.Nimekiona kiti kirefu, unauzaje?
hongera kwa kiwanda!
Bei kuanzia laki Sita mpaka milioni Moja Na laki nane, inategemea sana na mbao unazotaka zitumike.Bei ya vitanda imekaaje kulingana na vipimo
Bei kuanzia laki Sita mpaka milioni Moja Na laki nane, inategemea sana na mbao unazotaka zitumike.Kitanda shilingi ngapi???
Aisee, usingizi nao siku hiz umekua anasa!!!600k??😂😂Bei kuanzia laki Sita mpaka milioni Moja Na laki nane, inategemea sana na mbao unazotaka zitumike.
Ningekuwa nimetengeneza tayari alafu nauza ningeweka bei, lakini hapa MTU anaweka oda ndio namtengenezea, hivyo Bei inakuwa tofauti kulingana na mahitaji ya mteja.Bei nafuu ni bei gani? Kwanini usiainishe kila bidhaa na bei yake?
Nipo manzese tiptop, mkabala na ghorofa la ofisi za CCM.Aisee, usingizi nao siku hiz umekua anasa!!!600k??😂😂
Unapatikana wapi??
upoInteresting....
Mkuu! Hii lugha ni ya kufukuza watejaBei kuanzia laki Sita mpaka milioni Moja Na laki nane, inategemea sana na mbao unazotaka zitumike.
Nipo mkuu ...
Asante Sana mkuu, shukranMkuu! Hii lugha ni ya kufukuza wateja
Ungesema mfano kitanda 5*6 mbao ya mninga bei kadhaa hapo ingekua poa