Feni Ya Hp Laptop Haizunguki

Feni Ya Hp Laptop Haizunguki

Nafikiri Zaidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
516
Reaction score
686
Wakuu mambo vipi .. Hope Ur all fine...aisee laptop yangu Hp Elitebook 8840p feni haizunguki inapata joto hadi inazima yenyewe sasa nahisi ili tatizoo linaweza kuua hata motherboard .... nifanyeje??
 
Fungua kama unautaalamu ..Uisafishe sehemu ya feni na feni yenyewe inawezekana imejam coz of dusts
 
Peleka kwa fundi mjomba utapata hasara kubwa zaidi ya hiyo

Kuna jamaa mmoja alijifanya fundi akafungua laptop yake sasa mda wa kufunga akashangaa ameshaifunga lakini nati kibao kama 18 zimebaki hahahaah
 
Chek feni itakua imejaaa dust au wire zinazo peleka power zitakua zimefel kama imekukufa sample peleka kwa fundi aka replace
 
Hahaha sawa mkuu mm nilifungua zikabak 2 hahaha
 
Chek feni itakua imejaaa dust au wire zinazo peleka power zitakua zimefel kama imekukufa sample peleka kwa fundi aka replace
Dust nishapunguza mzee baba naona thermal compond imekua ngumu sana ngoja nichek
 
Back
Top Bottom