fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 667
- 721
Useless accessories
Feni unayoweza ichomeka katika simu yako ikakupepea....!hauna haja ya kutumia mkono,kitambaa,daftari kujipepea
Unapatikana wapi nije nijikamatie 3 moja yangu moja nyumba kubwa moja nyumba ndogo