Fenella Mukangala: Napenda anavyokuwa 'natural'

Fenella Mukangala: Napenda anavyokuwa 'natural'

Huyu mama kwakweli ananifanya nimpende kwa kitu kimoja, haweki minywele ya bandia au midawa kichwani mwake kama wanawake wengi wanvyofanya!
Big up sana mama yangu kwa kujali uafrika wako.
je magdalena sakaya vipi?
 
Fenella Mukangara sio mshamba ndio maana haigi ujinga. mtoto wa watu kazaliwa Magomeni. Msingi kasoma Magomeni. Secondari. Zanaki. Hihh sch Jangwani. kavuka bahari Australia hadi Uingereza. Sasa angalia wabunge waliozaliwa huko. wakaja kwa train. wakafikia Kimara baadae wakahamia Mbezi. Ogopa hawa. Ni washamba na malimbukeni sana. Fungua TV bungeni uwaone. they are a DISGRACE to the african race.
 
namzimika sana huyu waziri yupo natural & simple afu anapenda kuwa natural. Tusilazimishe wote wawe hivyo wengine wana Vichwa na nyuso za Mviringo lazima wajitie mawigi jamani
 
Fenella Mukangara sio mshamba ndio maana haigi ujinga. mtoto wa watu kazaliwa Magomeni. Msingi kasoma Magomeni. Secondari. Zanaki. Hihh sch Jangwani. kavuka bahari Australia hadi Uingereza. Sasa angalia wabunge waliozaliwa huko. wakaja kwa train. wakafikia Kimara baadae wakahamia Mbezi. Ogopa hawa. Ni washamba na malimbukeni sana. Fungua TV bungeni uwaone. they are a DISGRACE to the african race.

Hahaaaa cc Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Napenda sana jinsi anavyosuka nywele zake, yupo natural na anajivunia uafrika wake.
 
Attachments

  • HU1.jpeg
    HU1.jpeg
    81.2 KB · Views: 372
Napenda lile wig la maza wa pale kwenye kile kiti cha pale juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom