Female soccer

Female soccer

Hilo ni soka la mchangani tu,kwahiyo sio mbaya sana.Kwahiyo kisa mwanamke kazaa ndio apoteze haki yake ya kusakata kabumbu?
Mbona wanaume wanacheza mpira huku wana watoto wachanga majumbani kwao? Au mtoto ni wa mwanamke pekee?

Wewe unaleta Gender politics in technical issues!
 
Ndio maana nilisema hilo ni soka la mchangani tu sio mbaya.
Ndondo linataka technical gani?

No pale uliposema kuwa mbona wanaume wanaacha watoto nyumbani!!!.........Nisamehe mpenzi, kwanza ndondo ni kitu gani? Sasa hayo manyonyo alipata maji ya kuyaosha maana alikuwa anatoka jasho!!! Haya bwana!
 
Ndondo ni soka la mchangani.
Sasa mimi najuaje kama alipata maji au lah?
Haya bwana.....
 
Back
Top Bottom