Female soccer

Female soccer

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Half time
 
Attachments

  • 1431279033502.jpg
    1431279033502.jpg
    31.5 KB · Views: 789
Hilo ni soka la mchangani tu,kwahiyo sio mbaya sana.Kwahiyo kisa mwanamke kazaa ndio apoteze haki yake ya kusakata kabumbu?
Mbona wanaume wanacheza mpira huku wana watoto wachanga majumbani kwao? Au mtoto ni wa mwanamke pekee?
 
They Play Just For Fun And Keeping Heathy Bodies And Not As A Proffesion.
 
Hilo ni soka la mchangani tu,kwahiyo sio mbaya sana.Kwahiyo kisa mwanamke kazaa ndio apoteze haki yake ya kusakata kabumbu?
Mbona wanaume wanacheza mpira huku wana watoto wachanga majumbani kwao? Au mtoto ni wa mwanamke pekee?

tunaItazamaje afya ya mtoto hapa. Jasho plus mikono michafu kushika chUcku ili kumnyonyesha mtoto jawabu litakua?
 
Una uhakika gani kama mikono ni michafu? Wanawake na sisi tuna haki.Mazoezi/michezo ni muhimu kwa kila mmoja.
 
mikono michafu tu? vp Jasho au ile chumvichumvi inaongeza ladha ya maziwa kwa mtoto jawabu
 
Bwana eeh, ingekua hivyo basi watoto wa wakulima wangeshakufa kibao.Mbona wanawake wakulima wanalima huku wananyonyesha?
Kunyonyesha hakuzuii mwanamke kujishughulisha.
 
Kwani kushughulika kitandani hakuwatoshi
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeeh:banplease::banplease::ban::rolleyez:
 
Back
Top Bottom