Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,305 Oct 8, 2020 #1 >>> https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2164470/pdf/brmedj04013-0030d.pdf
eddy25r JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 926 Reaction score 841 Oct 8, 2020 #2 Hii hapa 2019.. bongoland
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,605 Reaction score 74,433 Oct 8, 2020 #3 Hatari Sana Haya Mambo
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,305 Oct 9, 2020 Thread starter #4 Tafadhali, anaejua ni asilimia ngapi ya wanawake wa ki-kikuyu waliokeketwa kwa miaka ya hivi karibuni, atuambie
Tafadhali, anaejua ni asilimia ngapi ya wanawake wa ki-kikuyu waliokeketwa kwa miaka ya hivi karibuni, atuambie
mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,781 Reaction score 6,481 Oct 9, 2020 #5 Chamoto said: Tafadhali, anaejua ni asilimia ngapi ya wanawake wa ki-kikuyu waliokeketwa kwa miaka ya hivi karibuni, atuambie Click to expand... Idadi ni next to zero.
Chamoto said: Tafadhali, anaejua ni asilimia ngapi ya wanawake wa ki-kikuyu waliokeketwa kwa miaka ya hivi karibuni, atuambie Click to expand... Idadi ni next to zero.
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,569 Reaction score 53,583 Oct 9, 2020 #6 Anayemuelewa mleta mada atutafsirie maana ukeketaji upo sana mikoani kwao huko, na nitashangaa sana kama kuna mwanamke yeyote Mkikuyu amekeketwa ndani miaka mitano ya hivi majuzi.
Anayemuelewa mleta mada atutafsirie maana ukeketaji upo sana mikoani kwao huko, na nitashangaa sana kama kuna mwanamke yeyote Mkikuyu amekeketwa ndani miaka mitano ya hivi majuzi.