aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,650
- 3,662
Hawa jamaa bana now baada ya diamond kutoboa wanajifanya ndio mameneja bora mbona hawa walishindwa wafikisha kufahamika hata hapo zambia tu
Babutale ashawahi kuwa meneja wa Z Anto,mbdogg.gorilla killer(pingu na deso) Kassim mganga,Tundaman na Spark, Raymond(sio huyu rayvan), Keisha mbona hawakufika popote?
Na sasa Madee haendi show hata Rwanda
Fella nae kawa meneja wa Ferooz,Berry black,Bibi,cheka,Chegge,Temba kidogo ya moto ndo wanacheuwa
Hivyo wasihifanye wao wamemaster soko diamond ametoboa sasabu mama yake bingwa wa kupuliza na show zake zote kubwa huwa ndio mbeba mikoba huyo sallam mwenyew mbona alishindwa kumrudisha Mr Nice kwa game? AyY nae anaview kibao kwa hit yake ya zigoremix lakin ushasikia wapi anafanya show?
Me nashangaa sana wanamuziki wanapowalalamikia hao kuwa ni kikwazo