Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,695
- 2,553
Acheni woga wa kuogopa personality, watanzania wako imara na wanajua nini wanataka wala hawaogopi jina la mtu. Ila punguzeni tetesi na kuzusha ili maisha yaendelee manake tetesi nyingi sio za ukweli na uzushi wenu umekuwa ukiwatisha watanzania kufanya maamuzi magumu.
Hisia, tetesi, uzushi na woga ndio kikwazo kikubwa kwa sasa, acheni mambo ya tetesi tufanye kazi tujenge nchi manake hata walioshinda hamkuwachagua nyinyi na lazima mkubali sasa kwamba hamna madhara yeyote isipokuwa midomo tu.[/QUOTE
Asante kwa mchango wako mkuu, tetesi zipo, zitaendelea kuwepo na wakati mwingine huwa ni kweli! Hili la chenge na genge lake limeanza ku-reveal ukweli...kama ni mfuatiliaji wa habari utakuwa umeshasikia jinsi chenge alivyotangaza nia.
Ndugu zangu, Chenge hataki Uspika, amechukua fomu ukiwa ni mkakati maalumu ulioandaliwa ili kuondoa attention kwenye uchaguzi uliopita. Chenge ni mmoja wa wana CCM wenye kashfa, which puts him kwenye nafasi nzuri ya kuvuta hisia za watu, na kusahau haraka jinsi CCM ilivyokwapua kura za Slaa.Mwenye kujua ukweli wa jambo hili atujuze jamani, maana kuna tetesi nimesikia kuna kiasi kikubwa ( approx. 2 millions USD) cha pesa kimechangwa na Felix Mrema wa Arusha, EL na Rostam Aziz kupitia Bank M ( Account gani mi Sijui).
Lengo likiwa ni kum-support ndugu Andrew Chenge Kufanikisha Kuchukua Kiti Cha Uspika. Sababu kubwa ya Felix Mrema Kuchangia mbio hizo inasemekana ni kutokana na Kashfa za ndugu yake wa TANROAD ( Bomu linalosubiriwa Kulipuka) kumgusa Andrew Chenge.
Mwenye Kufahamu lolote ni vizuri akaliweka jamvini ili lifahamike kiuwazi, maana maandalizi ya kuimaliza CCM ndo yameshaanza kushika kasi.
Nawakilisha!
Ndugu zangu, Chenge hataki Uspika, amechukua fomu ukiwa ni mkakati maalumu ulioandaliwa ili kuondoa attention kwenye uchaguzi uliopita. Chenge ni mmoja wa wana CCM wenye kashfa, which puts him kwenye nafasi nzuri ya kuvuta hisia za watu, na kusahau haraka jinsi CCM ilivyokwapua kura za Slaa.
Baada ya Chenge itakuja rummor ya Lowassa kuwa PM, mchanganyikiwe zaidi, but all in all ni propaganda tu za CCM, kama mimi muongo mtaona. Mbona Sita hajamjibu Chenge, na mnamjua Sita alivyo mkurupukaji, so guys open your eyes!!
Ona magazeti na kila mtu sasa anazungumzia Chenge, badala ya kuongelea jinsi kura zilivyoibiwa. Mkiambiwa CCM ni moto wa propaganda mnadharau. Attention yote imeondoka kwa Slaa, sasa imehamia kwa Chenge, na ili kukoleza zaidi Chenge akaita waandishi wa habari ili kupika ziadi, mchanganyikiwe, i tell you hata hapa JF hamjaliona hilo? Loh kweli jamvi makini hili?, stop discussing issue ya Chenge, pelekeni nguvu zenu kwenye suala la kuibiwa kura, please

Mwenye kujua ukweli wa jambo hili atujuze jamani, maana kuna tetesi nimesikia kuna kiasi kikubwa ( approx. 2 millions USD) cha pesa kimechangwa na Felix Mrema wa Arusha, EL na Rostam Aziz kupitia Bank M ( Account gani mi Sijui).
Lengo likiwa ni kum-support ndugu Andrew Chenge Kufanikisha Kuchukua Kiti Cha Uspika. Sababu kubwa ya Felix Mrema Kuchangia mbio hizo inasemekana ni kutokana na Kashfa za ndugu yake wa TANROAD ( Bomu linalosubiriwa Kulipuka) kumgusa Andrew Chenge.
Mwenye Kufahamu lolote ni vizuri akaliweka jamvini ili lifahamike kiuwazi, maana maandalizi ya kuimaliza CCM ndo yameshaanza kushika kasi.
Nawakilisha!
Kaazi kwelikweli. TAkukuru nao wapokea rushwa, inakuwaje muda huu ndio watoe tamko la kumsafisha huyu jamaa!! Hii ni rushwa.
Nadhani wanataka endapo EL atapendekezwa na Rais kuwa tena PM, asipate shida ya kupitishwa na wabunge. Maana idadi ya kura itabidi itoshe. Lakini kikubwa zaidi, ni kuhakikisha kuwa Bunge linatumika kufukia na kunyamazisha uwezekano wa mijadala yenye kuumiza baadhi ya wahusika kama ilivyokuwa kipindi kilichopita.
Ni wakati wa kutengeneza njia kwa uchaguzi wa 2015 na kwa kuanzia, itabidi watu wasafishwe kikamilifu kabisa. Nadhani katika hatua hiyo, wapinzani wasipokuwa wamoja, wataanza kupunguzwa ndani ya mjengo kwa kutumia taratibu na kanuni za Bunge.