Edward lowassa, rostam aziz, andrew chenge, nazir karamagi karibuni chama chetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Edward lowassa, rostam aziz, andrew chenge, nazir karamagi karibuni chama chetu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Najijua, Apr 13, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,028
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wakuu napenda kuwakaribisha wale magwiji wa siasa za tz katika chama chetu kipya kabisa baada ya kupewa indiketa ya kutaka kujiondoa kabla ya kuondolewa katika chama chao cha awali: Chama cha magamba

  chama chetu kipya (cck) ni chama cha wale wote wanaoshutumiwa katika maeneo tofauti tujiunge pamoja ili tuweze kufarijiana vizuri na kuweza kupata nafasi ya kujibu mashambulizi dhidi yetu na kutoa vijembe kwa wale wote ambao chama cha magamba wanaogopa kusema

  uongozi:

  M/kiti tutampa edward lowassa

  katibu : Naziri karamagi

  mhazini: Rostam azizi

  mwanasheria wa chama: Andrew chenge

  itikadi na uenezi: Sheikh yahya

  propaganda: Yusuph makamba

  kamati kuu itakuwa na wafuato:

  1. Lawrence masha

  2. Sophia simba

  3. Zakaria kakobe

  4. Hamis mgeja

  5. Benno malisa

  6. Ridhiwani jk

  wadau mnaweza ongeza na kupunguza orodha
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,038
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  zakaria kakobe hapo anafanya nini?
   
 3. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,568
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  habar yako bana? Mi napita 2 hapa ila nimeona nikujulie hal.
   
 4. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekipenda hiki kirefu kipya cha CCM = Chama Cha Magamba.
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,742
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  We naona unatafuta utajiri kwa hawa jamaa wakugawie kidogo vijisenti hahaha!
   
 6. K

  Kana Amuchi Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  prophet ni Chama Chenye Magamba. baada ya muda fulani wanajivua ganda kuukuu ili liote jingine. ila nalo ni gamba pia.
   
 7. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,773
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  edward hosea --- mambo ya nje
   
 8. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,028
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  DDP- mkurugenzi wa kujihami
  IGP Said Mwema - mkuu wa ulinzi na intelejensia ya chama
   
 9. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tambwe Hiza - Naibu Mropokaji
  Bagenda - Mshauri wa Siasa
  Salva Rweyemamu - Mratibu wa Mawasiliano
  Makongoro Mahanga - Mjumbe wa Kamati Kuu
  Peter Serukamba - Mshauri Mkuu wa EL
   
 10. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,786
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  Sishangai chama chako kikapata kura nyingi sana kwa watanzania as Long as Pesa za T-shirts na pombe za kienyeji mnazo nyingi kuliko sisi em.
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,329
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  7.Mh Lusekelo(Mzee wa Upako)-CC

  Prof Maji Marefu-Waziri:Sayansi,Teknologia (ya anga) na Elimu ya Juu.
   
Loading...