Felix Mrema, Edward Lowassa na Rostam Aziz wamsupport Andrew Chenge Kupitia Bank M

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,454
2,000
Acheni woga wa kuogopa personality, watanzania wako imara na wanajua nini wanataka wala hawaogopi jina la mtu. Ila punguzeni tetesi na kuzusha ili maisha yaendelee manake tetesi nyingi sio za ukweli na uzushi wenu umekuwa ukiwatisha watanzania kufanya maamuzi magumu.

Hisia, tetesi, uzushi na woga ndio kikwazo kikubwa kwa sasa, acheni mambo ya tetesi tufanye kazi tujenge nchi manake hata walioshinda hamkuwachagua nyinyi na lazima mkubali sasa kwamba hamna madhara yeyote isipokuwa midomo tu.
 
ejogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2009
992
225
Kaazi kwelikweli. TAkukuru nao wapokea rushwa, inakuwaje muda huu ndio watoe tamko la kumsafisha huyu jamaa!! Hii ni rushwa.
 
payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
832
0
Acheni woga wa kuogopa personality, watanzania wako imara na wanajua nini wanataka wala hawaogopi jina la mtu. Ila punguzeni tetesi na kuzusha ili maisha yaendelee manake tetesi nyingi sio za ukweli na uzushi wenu umekuwa ukiwatisha watanzania kufanya maamuzi magumu.

Hisia, tetesi, uzushi na woga ndio kikwazo kikubwa kwa sasa, acheni mambo ya tetesi tufanye kazi tujenge nchi manake hata walioshinda hamkuwachagua nyinyi na lazima mkubali sasa kwamba hamna madhara yeyote isipokuwa midomo tu.[/QUOTE

Asante kwa mchango wako mkuu, tetesi zipo, zitaendelea kuwepo na wakati mwingine huwa ni kweli! Hili la chenge na genge lake limeanza ku-reveal ukweli...kama ni mfuatiliaji wa habari utakuwa umeshasikia jinsi chenge alivyotangaza nia.
 
ICHONDI

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
596
250
Mwenye kujua ukweli wa jambo hili atujuze jamani, maana kuna tetesi nimesikia kuna kiasi kikubwa ( approx. 2 millions USD) cha pesa kimechangwa na Felix Mrema wa Arusha, EL na Rostam Aziz kupitia Bank M ( Account gani mi Sijui).

Lengo likiwa ni kum-support ndugu Andrew Chenge Kufanikisha Kuchukua Kiti Cha Uspika. Sababu kubwa ya Felix Mrema Kuchangia mbio hizo inasemekana ni kutokana na Kashfa za ndugu yake wa TANROAD ( Bomu linalosubiriwa Kulipuka) kumgusa Andrew Chenge.

Mwenye Kufahamu lolote ni vizuri akaliweka jamvini ili lifahamike kiuwazi, maana maandalizi ya kuimaliza CCM ndo yameshaanza kushika kasi.

Nawakilisha!
Ndugu zangu, Chenge hataki Uspika, amechukua fomu ukiwa ni mkakati maalumu ulioandaliwa ili kuondoa attention kwenye uchaguzi uliopita. Chenge ni mmoja wa wana CCM wenye kashfa, which puts him kwenye nafasi nzuri ya kuvuta hisia za watu, na kusahau haraka jinsi CCM ilivyokwapua kura za Slaa.

Baada ya Chenge itakuja rummor ya Lowassa kuwa PM, mchanganyikiwe zaidi, but all in all ni propaganda tu za CCM, kama mimi muongo mtaona. Mbona Sita hajamjibu Chenge, na mnamjua Sita alivyo mkurupukaji, so guys open your eyes!!

Ona magazeti na kila mtu sasa anazungumzia Chenge, badala ya kuongelea jinsi kura zilivyoibiwa. Mkiambiwa CCM ni moto wa propaganda mnadharau. Attention yote imeondoka kwa Slaa, sasa imehamia kwa Chenge, na ili kukoleza zaidi Chenge akaita waandishi wa habari ili kupika ziadi, mchanganyikiwe, i tell you hata hapa JF hamjaliona hilo? Loh kweli jamvi makini hili?, stop discussing issue ya Chenge, pelekeni nguvu zenu kwenye suala la kuibiwa kura, please
 
WildCard

JF-Expert Member
Apr 22, 2008
7,495
1,250
Ninyi endeleeni kumkaba Chenge tu. Atapitishwa mtu mwingine wa hovyo zaidi kwenye nafasi hii ya Uspika.
 
Ramos

JF-Expert Member
May 13, 2010
498
0
tunakumbuka kuwa mwanzoni ilisemwa kuwa EL alitaka kuwa spika. Lakini kwa hali ilivyo sasa tunazidi kufahamu kuwa yule jamaa ana mikono mingi, na mtandao alio nao, sishangai, kama sio yeye, basi kibaraka wake kuukwaa uraisi 2015. Watanzania tuwe makini...
 
payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
832
0
Ndugu zangu, Chenge hataki Uspika, amechukua fomu ukiwa ni mkakati maalumu ulioandaliwa ili kuondoa attention kwenye uchaguzi uliopita. Chenge ni mmoja wa wana CCM wenye kashfa, which puts him kwenye nafasi nzuri ya kuvuta hisia za watu, na kusahau haraka jinsi CCM ilivyokwapua kura za Slaa.

Baada ya Chenge itakuja rummor ya Lowassa kuwa PM, mchanganyikiwe zaidi, but all in all ni propaganda tu za CCM, kama mimi muongo mtaona. Mbona Sita hajamjibu Chenge, na mnamjua Sita alivyo mkurupukaji, so guys open your eyes!!

Ona magazeti na kila mtu sasa anazungumzia Chenge, badala ya kuongelea jinsi kura zilivyoibiwa. Mkiambiwa CCM ni moto wa propaganda mnadharau. Attention yote imeondoka kwa Slaa, sasa imehamia kwa Chenge, na ili kukoleza zaidi Chenge akaita waandishi wa habari ili kupika ziadi, mchanganyikiwe, i tell you hata hapa JF hamjaliona hilo? Loh kweli jamvi makini hili?, stop discussing issue ya Chenge, pelekeni nguvu zenu kwenye suala la kuibiwa kura, please
Mkuu Asante kwa kuwafungua watu macho! Possible kabisa jamaa huenda wanataka kucheza na Saikolojia ya wananchi!
 
Nyumbu-

JF-Expert Member
May 26, 2009
980
250
Ndugu zangu, Chenge hataki Uspika, amechukua fomu ukiwa ni mkakati maalumu ulioandaliwa ili kuondoa attention kwenye uchaguzi uliopita. Chenge ni mmoja wa wana CCM wenye kashfa, which puts him kwenye nafasi nzuri ya kuvuta hisia za watu, na kusahau haraka jinsi CCM ilivyokwapua kura za Slaa.

Baada ya Chenge itakuja rummor ya Lowassa kuwa PM, mchanganyikiwe zaidi, but all in all ni propaganda tu za CCM, kama mimi muongo mtaona. Mbona Sita hajamjibu Chenge, na mnamjua Sita alivyo mkurupukaji, so guys open your eyes!!

Ona magazeti na kila mtu sasa anazungumzia Chenge, badala ya kuongelea jinsi kura zilivyoibiwa. Mkiambiwa CCM ni moto wa propaganda mnadharau. Attention yote imeondoka kwa Slaa, sasa imehamia kwa Chenge, na ili kukoleza zaidi Chenge akaita waandishi wa habari ili kupika ziadi, mchanganyikiwe, i tell you hata hapa JF hamjaliona hilo? Loh kweli jamvi makini hili?, stop discussing issue ya Chenge, pelekeni nguvu zenu kwenye suala la kuibiwa kura, please
Ongezea kuwa hii ni startegy ya kuhamishia nguvu ya Sitta apambane na Chenge, wakati kiukweli ni kwamba mafisadi wameinvest kw Anne Makinda! Jiulize Anne Makinda kwanini agombee sasa wakati predecessor waliyefanya naye kazi naye anaomba kura?
Kwenye magazeti ya Rostam, wanaonyesha kwamba mchuano ni kati ya Chenge na Makinda, ili kuondoa uwezekano wa Sitta kupita. Chenge si mgombeaji, bali mvurugaji ili kuondoa attention kwa Anne Makinda. Anne Makinda ni Kikaragosi cha Mafisadi in disguise! Be warned!!!
 
Al Zagawi

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
2,109
2,000
Mwenye kujua ukweli wa jambo hili atujuze jamani, maana kuna tetesi nimesikia kuna kiasi kikubwa ( approx. 2 millions USD) cha pesa kimechangwa na Felix Mrema wa Arusha, EL na Rostam Aziz kupitia Bank M ( Account gani mi Sijui).

Lengo likiwa ni kum-support ndugu Andrew Chenge Kufanikisha Kuchukua Kiti Cha Uspika. Sababu kubwa ya Felix Mrema Kuchangia mbio hizo inasemekana ni kutokana na Kashfa za ndugu yake wa TANROAD ( Bomu linalosubiriwa Kulipuka) kumgusa Andrew Chenge.

Mwenye Kufahamu lolote ni vizuri akaliweka jamvini ili lifahamike kiuwazi, maana maandalizi ya kuimaliza CCM ndo yameshaanza kushika kasi.

Nawakilisha!
mi nadhani ni vizuri wakimpitisha chenge...nitaeleza....

1. Chenge ni fisadi wa wazi asiyejificha....Sita ni fisadi wa kujificha(alichangia kuua mjadala wa richmond kuwalinda mafisadi, alimfukuza Zito bungeni alipoibua soo la buzwagi na kumshutumu Dr Slaa alipokuja na list of shame...kifupi ni rahisi ku-deal na fisadi wa wazi kama Chenge kuliko mnafiki kama Sitta)

2. Chenge anajulikana msimamo wake wakati Sitta hajulikani maana leo atasema hili kesho akiona maslahi yatakwenda kombo atasema lile. Ni rahisi ku-deal na mtu mwenye misimamo ya wazi kuliko bendera fata upepo.

3. ikiwa chenge atachukua ni wazi ataendesha bunge kibabe na kupendelea mafisadi wazi wazi...hilo litasaidia kuligawa bunge baina ya pro chenge na anti chenge...kwa kujua hatari ya kusimama na mafisadi come yr 2015(ikiwa wamesoma from kura zao za maoni lakini) ni wazi kambi ya anti chenge itakuwa na wabunge wengi zaidi...revolt itakuwa ni inevitable na the very unexpected might happen..the first ever impeachment of the speaker...tukifika hapo ccm itagawanyika mgawanyiko wa KANU na the new NARC will be born( i dont want to sound like mugo wa kibiro anyway)..it is this NARC that we need to topple CCM from power!!!!!!!!!

baada ya kuzaliwa NARC...bila shaka kitaeleweka!!!!

to Chenge now....Go Old Man and get Six Off the chair!!!!!!
 
Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,237
1,500
Kaazi kwelikweli. TAkukuru nao wapokea rushwa, inakuwaje muda huu ndio watoe tamko la kumsafisha huyu jamaa!! Hii ni rushwa.
Mara hii umesahau REDET na SYNOVATE! They are on the same truck - Kuitengeneza njia ya bwana wao!
 
Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,457
1,500
kazi umbea umbea tuuuuuuuuu! hao wote wanaowatajwa kuwa ni mafisadi wamesafishwa na takukuru na kabla ya hapo wameshasafishwa na viongozi waandamizi wa serikali kuwa hawana doa lolote isitoshe mshaambia kuwa mwenye ushahidi aende mahakamani, mbona hamwendi? mpaka leo hakuna aliyepelekwa hata kwa mjumbe wanyumba kumi. hivyo kwa mawazo yangu lawama zozote juu ya hao watu wanaotajwa kuwa ni mafisadi nizakupuuzwa hazina msingi ni umbeaumbea tuuuuu. juzi mh. chenge kawaita wanahabari wakamtwanga swali dhidi ya hizo tuhuma, kawaambia wasiwe wavivu waende TAKUKURU, waandishi wakafunga safari mpaka TAKUKURU kesho yake statement ikatolewa kuwa mzee wa vijisenti na safiiiiiii hana doa! yakawashuka. Kumbuka sijamtaja mramba! Nasema tena CHENGE, LOWASA, KARAMAGI, ROSTAM sijui na nani tena ni saafiiiii. Kuna dhambi kama ya kuiba kura? sasa ni muda wa kujenga nchi, fitna basi.
 
nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
250
hiki ni kifo tosha kwa ccm kama kweli chenge atapitishwa kuwa spika wa bumge lijalo
 
Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,688
0
Natamani Andrew Chenge apate u-speaker....adui mwombee njaa..
 
Logician

Senior Member
Nov 5, 2010
175
0
Nadhani wanataka endapo EL atapendekezwa na Rais kuwa tena PM, asipate shida ya kupitishwa na wabunge. Maana idadi ya kura itabidi itoshe. Lakini kikubwa zaidi, ni kuhakikisha kuwa Bunge linatumika kufukia na kunyamazisha uwezekano wa mijadala yenye kuumiza baadhi ya wahusika kama ilivyokuwa kipindi kilichopita.

Ni wakati wa kutengeneza njia kwa uchaguzi wa 2015 na kwa kuanzia, itabidi watu wasafishwe kikamilifu kabisa. Nadhani katika hatua hiyo, wapinzani wasipokuwa wamoja, wataanza kupunguzwa ndani ya mjengo kwa kutumia taratibu na kanuni za Bunge.

Kwajinsi yeyote kama kuna mteule atapita kuwa spika ndani ya CCM atakuwa amechaguliwa na wana-CCM. Kama mteule huyo atakuwa mchafu, apendwi na common wananchi hata kama hawana uwezo wa kuchagua basi CCM na watu wa kutetea national interests wamechoka kazi. Nadhani watetezi wa "national interests and security" watayaona haya. You have power to change the course Don't wait until our peace to vanish ! Hakuna hata mtu anamchukia mtu bali matendo yake na historia yake...

Mchezo wao ndio mauti yetu!
 
Susuviri

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
3,713
2,000
Mwenye kujua ukweli wa jambo hili atujuze jamani, maana kuna tetesi nimesikia kuna kiasi kikubwa ( approx. 2 millions USD) cha pesa kimechangwa na Felix Mrema wa Arusha, EL na Rostam Aziz kupitia Bank M ( Account gani mi Sijui).

Lengo likiwa ni kum-support ndugu Andrew Chenge Kufanikisha Kuchukua Kiti Cha Uspika. Sababu kubwa ya Felix Mrema Kuchangia mbio hizo inasemekana ni kutokana na Kashfa za ndugu yake wa TANROAD ( Bomu linalosubiriwa Kulipuka) kumgusa Andrew Chenge.

Mwenye Kufahamu lolote ni vizuri akaliweka jamvini ili lifahamike kiuwazi, maana maandalizi ya kuimaliza CCM ndo yameshaanza kushika kasi.

Nawakilisha!
Enhee kwa vijana wasiojua mapacha watatu hawa hapa:
Lowassa, Chenge na Rostam
Ukimwona mmoja wao ujue wote wako huko. Ndiyo wamehamia Chadema na wafuasi wasiojitambua wanasherekhea. Hawajui Mbowe alitamani ufisadi tokea zamani na alikuwa karibu na hawa lakini kwa kujificha. Sasa wamempa an offer he couldn't resist keshawauza! But not Dr Slaa!
 
Top Bottom