Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,696
- 2,553
Acheni woga wa kuogopa personality, watanzania wako imara na wanajua nini wanataka wala hawaogopi jina la mtu. Ila punguzeni tetesi na kuzusha ili maisha yaendelee manake tetesi nyingi sio za ukweli na uzushi wenu umekuwa ukiwatisha watanzania kufanya maamuzi magumu.
Hisia, tetesi, uzushi na woga ndio kikwazo kikubwa kwa sasa, acheni mambo ya tetesi tufanye kazi tujenge nchi manake hata walioshinda hamkuwachagua nyinyi na lazima mkubali sasa kwamba hamna madhara yeyote isipokuwa midomo tu.