Ni waandaaji na watangazaji wa vipindi vya nyimbo laini siku za Jumapili. Mi ni mpenzi wa nyimbo laini. Hawa jamaa wote ni mahili kwenye vipindi vyao Felix akiwa TBC Fm na Jerry akiwa Clouds. Lakini nimechunguza,Felix kamzidi kidogo points Jerry. Kwa wale wapenzi wa miziki laini siku za jumapili mwaweza toa maoni pia.