Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,128
Ndo maana tunashauri kwa sasa msiwe mnatolewa vichogo ina athiri ubongoWakuu,
Feisal anajua hili goma linachezwa wapi na wazito gani! Sasa kamuweka Fatumakwamba hangaikeni nae! Fatuma nae sio Uto kivileee amekaza! Alafu hataki mudhalilishe professional yake kizembe! Sasa goma limekwama kooni, Dogo amekaa pembeni big fish wanachapana
Fatuma kashasema hili goma lake! Hajasoma vichochoroni, kiufupi Uto wana kuwa dragged into complex trap wachekwe! Mtumieni mchezaji mnataka avunje vipi mkataba biashara iishe bila any damage! Otherwise nimekaa paleeee!
