Hizi danana za TFF zina mwisho.
Mwanzo Fei alipovunja mkataba, Yanga ilimshtaki kuwa hajafuata uataratibu kwasababu TFF haikutoa idhini, ikiwa TFF lazima ihusishwe kwenye kuvunja mkataba.
Mawakili wa Fei wakadai mkataba ushavunjwa kama amekosea kuvunja apewe haki yake kama kulipa fidia au adhabu.
TFF ikakomaa kuwa mkataba utavunjika tu ikiwa wao watahusishwa na kutoa idhini.
Wakaona isiwe kesi, mawakili wa Fei wakaandika barua kwenda TFF ili kutoa idhini ya kuvunja mkataba.
Matokeo ndio haya ya Sasa
