Wakuu,
Nina application yangu nimeiachia play store inaitwa hellodokta (Beta version release now) inayousu maswala ya afya ya uzazi wa kike na kiume pamoja na afya ya mtoto. Basically app hii inakuwezesha kuuuliza swali au kuomba ushauri anonymously na kujibiwa na verified doctor instantly kupitia text messages (kuchat). Vile vile unaweza ukasoma maswali yalioulizwa na users wengine pamoja na kusoma health tips kwa ajiri yako na familia.
Nakuja kwenu kuwaomba kutest hellodokta application kutoa feedbacks zetu kwenye User Interface(UI), User experience(UX) na maoni yenu kiujumla kuhusu app hii. Kwasasa app hii inapatikana kwa android phones peke yake.
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.hellodokta.hellodoktaforusers&hl=en
Shukarani wadau,
Nasubiri maoni yenu hapa au play store.