Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 202
hapo umesema!!! jamani tusaidiane kuhusu irdeto coz its applied hata kwenye MediaCom MFT930+
Mkuu aminia imekubali!
Ila simple steps, hatua tilizozifuatisha ni -
main menu;
system setting;
channel search, manual search;
frequency input
- 530
kama ninavyo nukuu.
tukumbuke kuigeuza kadi, program yao inatusoma!!!
ni very simple
1)click menu button kisha down arrow key mpaka kwenye item ya 4 itakupa options 2, manual na auto
2)click right arror key ili uende kwenye hizo options kisha uwe kwenye manual options
3)click ok kisha bonyeza 530 kisha click ok
4)ita search na kuonyesha 12 chanel found
5)exit mpaka kwenye menu kisha ITV na EATV zitaonekana
6)ukiona ITV na EATV hazina sauti bonyeza Track button chini ya power button kwenye remote yako mpaka utaona sauti inapatikana.
ikikubali usisahau kunipa thanks
Nahisi inategemea na eneo ulilopo, maana mie nilishajaribu hii njia siku za nyuma lakini haikufanya kazi
Kila siku tunalalamika ccm ni mafisadi, wenyewe tunajiita sisi ni great thinkers, halafu tunajifunza jinsi ya kuchakachua. Sasa tunawalalamikia nini wengine. Nani atakayeiokoa nchi yetu. No, no, great thinkers tujadili jinsi ya kuendeleza nchi yetu siyo jinsi kuibiana wenyewe kwa wenyewe. Hapana. Hapana.