SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 834
- 1,596
mbuzi anaanzia bei gani?Salam wakuu.kama heading inavosomeka hapo.
Mwaka jana nilileta uzi wangu kuhusu biashara ya mbuzi na ng'ombe na nikaweka na no zangu.
Basi kuna siku nikawa nimetulia tu mara kuna memba akanitafuta.akaniambia anataka mbuzi wa kufuga,yeye anaishi Dar.
Nikamwambia ajipange siku akiwa tayar atanicheki.
Akanipigiaga mwingine tena akasema nataka kondoo wa kufuga, nikasema wapo wanapatikana tu hela yako nae akasema anaish Dar.
Watatu na wanne wote walinipiaga wakasema watanicheki lakini wapi.
Basi bhana nikatulia kama miezi miwili ndo akanicheki jamaa mmoja kutoka dodoma.
Akasema anataka mbuzi kama 40 au 50 nikasema wanapatikana kwa bei chee
Nafiri huyu ndugu yangu akasema anakuja kutoka dom kuja kunitembelea ili ajifunze kuhusu ufugaji.
Jamaa akaja wiki iliopita tukaongea mengi sana.
Tu cut the story akanambia atakuja tena ili aje na pesa.
Nilichojifunza kwenye biashara unatakiwa uwe na moyo mgumu sana
Ila namshuku MUNGU angalau nayaona matokeo nimeanza kufanya delivery miji ya karibu kama gairo,kibaigwa,
Nilitegemea useme namna ulivyopangua mbinu za kitapeli na kuzima jaribio la kuibiwa kiujanja ujanja!Salam wakuu.kama heading inavosomeka hapo.
Mwaka jana nilileta uzi wangu kuhusu biashara ya mbuzi na ng'ombe na nikaweka na no zangu.
Basi kuna siku nikawa nimetulia tu mara kuna memba akanitafuta.akaniambia anataka mbuzi wa kufuga,yeye anaishi Dar.
Nikamwambia ajipange siku akiwa tayar atanicheki.
Akanipigiaga mwingine tena akasema nataka kondoo wa kufuga, nikasema wapo wanapatikana tu hela yako nae akasema anaish Dar.
Watatu na wanne wote walinipiaga wakasema watanicheki lakini wapi.
Basi bhana nikatulia kama miezi miwili ndo akanicheki jamaa mmoja kutoka dodoma.
Akasema anataka mbuzi kama 40 au 50 nikasema wanapatikana kwa bei chee
Nafiri huyu ndugu yangu akasema anakuja kutoka dom kuja kunitembelea ili ajifunze kuhusu ufugaji.
Jamaa akaja wiki iliopita tukaongea mengi sana.
Tu cut the story akanambia atakuja tena ili aje na pesa.
Nilichojifunza kwenye biashara unatakiwa uwe na moyo mgumu sana
Ila namshuku MUNGU angalau nayaona matokeo nimeanza kufanya delivery miji ya karibu kama gairo,kibaigwa,
Asaivi wamepanda bei kidogo ambayo bdo hawajapandwa ni 70-90 elfumbuzi anaanzia bei gani?
Asaivi wamepanda bei kidogo ambayo bdo hawajapandwa ni 70-90 elfumbuzi anaanzia bei gani?
Unataka wakufuga wanarange kuanzia 70k-90k mkuuMbuzi sh ngapi mzee nami nataka fuga
Bro hakuna utapeli niliokutana nao.japokuwa upo lakini in how utapeli unafanyika ebu fafanua kdg ili nijbuNilitegemea useme namna ulivyopangua mbinu za kitapeli na kuzima jaribio la kuibiwa kiujanja ujanja!
Sasa jambo hili la kuwasiliana na wateja mbona ni la kawaida sana katika bishara, au wewe unaliona ni kikwazo?
Bado sijaanza kuposti mitandao mingine nimeanza na hap jf kwa uaminifuUmenena vyema.
Biashara haihitaji uchoke baada ya mwaka wa hasara, hata hivyo ni vyema kuona walau viashiria vya ukuaji (hizo oda zinazokuja)
Mtandaoni unatumia jina gani tuone wanyama, hata kama sio leo tunatoa oda?
Lazima UJULIKANE, lasivyo utapata vipi walengwa wako?Bado sijaanza kuposti mitandao mingine nimeanza na hap jf kwa uaminifu
Miezi 6 zingatia hilo unapoanza biashara subiri miezi 6 hio inaitwa -Grace PeriodNilichojifunza kwenye biashara unatakiwa uwe na moyo mgumu sana
Ila namshuku MUNGU angalau nayaona matokeo nimeanza kufanya delivery miji ya karibu kama gairo,kibaigwa,
Mboni km haupo serious tuwekee uzi uliweka mwanzo kwa ajili ya referenceBado sijaanza kuposti mitandao mingine nimeanza na hap jf kwa uaminifu
Mkuu asante kwa ushauri.Lazima UJULIKANE, lasivyo utapata vipi walengwa wako?
Una simu kubwa, ingia insta, funguo akaunti, post mifugo...hapo mbele tafuta bajeti urushe sponsored ads
Fafanua kdg mkuuMiezi 6 zingatia hilo unapoanza biashara subiri miezi 6 hio inaitwa -Grace Period
Biashara ni km mtoto inaanza na mwaka 0 kisha miezi 6 kisha mwaka 1, sasa miezi 6 ni kipindi cha kuiangalia Biashara hapo huangalii faida hapo unaitumia Biashara kuitangaza zaidiFafanua kdg mkuu