Feedback kazi za oxfam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Feedback kazi za oxfam

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NEEMA JS, Jan 17, 2012.

 1. N

  NEEMA JS Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jf..poleni kwa msiba wa dada yetu regia

  naombeni kujuzwa kama kuna updates zozote za oxfam gb- walitangaza kazi nyingi dedline ilikuwa december 31, kama kuna yeyote anaefahamu naomba tujuzane humu
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Tulia mkuu. Jamaa wako smart mno, whether umekuwa shortlisted au la lazima watakutaarifu
   
 3. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kama umekosa watakuambia mapungufu ya application na nini ufanye next time ili uwin kazi hapo kwao
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Oxfam hawa hawa ninaowafahamu mimi ndo wako makini au wamebadilika siku hizi??!
   
 5. U

  UNIQUE Senior Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Oxfarm wanatangaza kazi sana kama geresha wana watu wao. Binafsi nimeacha kuomba kazi kwao. Wanafanya head hunting.
   
Loading...