Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
JF huwa inanichekesha sana.........
halafu Nyani Ngabu kumbe my instincts were true
I connected the dots and now I know
Upo?..
Aisee the last thing i could ever expect from JF,hunting love in here...like seriouslly?bora hata ingekuwa fb kdogo kuna tupicha,...au ukishamuona mtu and get to know him/her in person..hapo afadhali
sorry to say this,ila mi mwenyewe piemu nakuwaga muongoo kama nini,na siamini mtu kirahisi,so msiamini sana ya watu humu
People are so dedperate and naive my dear....
Wakati wengine wanaichukulia JF kama kijiwe cha porojo kuna wengine JF ndiyo mahali wanaishi. JF ni kila kitu kwao...
Hadi uje unilaghai mi nshakutapeli hadi nimejisalimisha kukuomba msamaha....
ahahahaha
usinifanyie hivyo jaman..
hahaaaa avatar yako naipendaga ni nani huyo