Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,039
Mi nlipitia tu sredi ile....nlishangaa kweli ulivonijibu ati hata video calls hamjawahi fanya.
Nyani Ngabu raisi wa wabeba maboksi embu enlighten us, memba wako gani anaweza akawa mhusika wa tukio hili??
Unajua jana niliruka kimanga na kukana katakata lakini leo nimekuwa na change of mind/ heart.
Nadhani ni mimi aisee. Damn me...I'm a serial heartbreaker.:smile-big:
Kama sio mimi basi atakuwa lieutenant wangu mmoja hivi naye huwa ni mtata sana....kwa sasa sitamtaja lakini.
Yani you guys are so diverse and not serious hadi you are not sure whether the particular lady is your victim or not? Uku mwenzio anaumia....
Its unfair....
raha ya umbea uujue mwanzo na mwisho.natamaaaani kumjua tapeli wa mapenzi
Hadi uje unilaghai mi nshakutapeli hadi nimejisalimisha kukuomba msamaha....Bado ww nkulaghai mm
raha ya umbea uujue mwanzo na mwisho.natamaaaani kumjua tapeli wa mapenzi
pole sana. karibu Jf, karibu MMU
Af mleta mada ngoja nikuambie ukweli.huyo mtu tumeshakutana nae hta sie wengine alivyo na trik na maneno mazur kama huna akil ya ziada inakula kwako..
Hadi uje unilaghai mi nshakutapeli hadi nimejisalimisha kukuomba msamaha....
Bora umelitambua mapema..social netwrk is'nt a ryt plc to get sum1 akili yko inabid ichezeshe mahesabu fasta othrws unabak kujuta,imeshanitokea yan cna ham ya kumkubal mwanaume kwny netwrks tn nilibak kujuta na kulia..too late!
Umbea sunna..ntajie mhusika hata kwa pm. Pia thread ya kwanza ni ipi before mrejesho??