Feed the children jamaniii

Feed the children jamaniii

Elerai

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
474
Reaction score
139
Wa ndugu zimepita wiki kadhaa tangu ngo ya feed the children inayopatikna maeneo ya msasani itoe tangaz la programs interns sasa wadau kama wameshatoa majibu au watu wameanz kazi 2julisheni . Wengne ndo 2nategemea huko
 
Badoo mkuu subiri subir kidoogo ila muda mwingine ukiona machoya ujue kaliwa
 
walishaita mkuu, interview ilikuwa trh 11, 12 na 14 ndo wanamalizia acee
 
Naomba number zao za cm kama walikupigia kuna cm nimepigiwa leo nijue kama ndo cm kimeo ikajiza
 
Naomba number zao za cm kama walikupigia kuna cm nimepigiwa leo nijue kama ndo cm kimeo ikajiza

Jamaa walitumia email kwa watu wote 20 na msg pia. Bahati mbaya msg yao nilijisahau nikawa nimefuta.
 
Maisha ni foleni kila siku inasogea polepole. Ipo siku katka mwaka ntaitwa na mimi
 
Back
Top Bottom